Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Angalau wewe hujanipuuza ndio maana ukanijibu. Ahahahahaha!!Umepuuzwa. Hunaga akili
Angalau wewe hujanipuuza ndio maana ukanijibu. Ahahahahaha!!Umepuuzwa. Hunaga akili
Kama mnashindwa tu kutofautisha kati ya GSM na Young Africans Sports Club bado mnajiita akili kubwa? FIFA sio wajinga. Wanajua TFF kuna usajili wa Young Africans Sports Club na sio GSM. Pigeni kelele lakini hakuna FIFA itafanya kwa Yanga.
Barua ya Yanga iliyo mtandaoni haisemi hivyo. Hapo tatizo ni nani?Una tatizo la kutokuwa na akili timamu au la kutosikia?
Uliambiwa kabisa kuwa GSM imechangia shilingi bilioni 10. Halafu ikatangazwa Yanga Sports Club imechangia shilingi milioni 100, na bado hukuelewa!! Au mwenzetu ni mlemavu (kiziwi)?