CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang

Hii itakuwa imeandikwa na Mbowe mwenyewe kwa sababu imeandikwa kwa busara sana. Siku nyingine mumpe Lema au Mdude awaandikie.
 
Sasa wale wauza sura wanaotumia magari ya umma wamesaidia nini zaidi ya kupiga picha na tope ?
Sasa hiyo si ni opportunity kwenu kufanya kitu cha maana kwa wananchi badala ya kukalia mchakato ?!
Kuna tofauti gani kati yenu na wauza sura kama na nyie hamfanyi kitu, badala yake mmekalia mchakato?
Ok, leo ni siku ya 3 baada ya mafuriko kutokea, mchakato umefikia harua gani?
 
Naunga mkono Salaam hizi, niliwahi kushauri
Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe, hivyo this is a good start, kwenye majanga ya Kitaifa, we stand as one!.
Big up sana Chadema for this!.
P
 
Kile kile uchosema hasilete yaani siasa na wewe ndicho ulicholeta yaani siasa kwenye maisha ya watu hanang

Na wewe wahi katesh kapige selfie kama hao viongozi wako wa chama ili tujue na wewe ulikuwepo.
 
Kile kile uchosema hasilete yaani siasa na wewe ndicho ulicholeta yaani siasa kwenye maisha ya watu hanang

Na wewe wahi katesh kapige selfie kama hao viongozi wako wa chama ili tujue na wewe ulikuwepo.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi
Kwan kulikuwa na mashindano ya kumpata namba moja kutoa salamu za rambirambi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…