CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa

Screenshot_2024-02-25-12-12-11-1.png
 
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa

View attachment 2915872
Salama za rambirambi nazo zimekuwa mashindano ya kisiasa .?

Tuwape pongezi kwa kuwa wa kwanza

Pole kwa ndugu jamaa na marafiki
 
Hao chadema ni wamewahi tu hizo salamu ila CCM hutuma karibu awamu zote patokeapo janga na Wala hawaangalii nani ametuona kama sisi ni wakwanza kifupi hashindani ila anatekeleza wajibu wake
 
Hao chadema ni wamewahi tu hizo salamu ila CCM hutuma karibu awamu zote patokeapo janga na Wala hawaangalii nani ametuona kama sisi ni wakwanza kifupi hashindani ila anatekeleza wajibu wake
Pamoja na kwamba salamu na pole ni jambo jema, muhimu zaidi ni michango yetu kwa wanadamu wenzetu katika kuokoa maisha yao, na namna ya kusaidia familia zinazoachwa bila msaada baada ya kuwapoteza wategemezi wao.
 
Mungu awabariki sana.

Chochote chema ufanyacho kuyaokoa maisha ya mwanadamu mwenzako kina baraka mbele za Mungu.

Pole sana wanafamilia waliopoteza ndugu zao, na majeruhi wote.
Shukrani Mkuu....
 
Back
Top Bottom