CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa

View attachment 2915872
R .I. P waliofariki katika ajali hiyo mbaya ....
 
Hua mnashindana na ccm nani awe wa kwanza kutuma salamu za pole za msiba? Ndio mnataka kuchukua nchi kwa siasa hizi za majitaka
 
Vyama vya siasa nchi hii viko vingi mno ! we endelea kuwaza ccm tu
 
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Ila ww jamaa bhana 😂😂 dah

Salamu za rambirambi sawa, vp kuhusu kuwahudumia hao majeruhi na kuwafariji wafiwa.?
 
Back
Top Bottom