Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Salama za rambirambi nazo zimekuwa mashindano ya kisiasa .?Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
View attachment 2915872
Hayo mengine ni ya kwakoSalama za rambirambi nazo zimekuwa mashindano ya kisiasa .?
Tuwape pongezi kwa kuwa wa kwanza
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki
Wapo Msibani nchi gani sijuiMsiba Mzito huu Ikulu haijatia neno?
Wapo Msibani nchi gani sijui
Nimechoka kukaliliWindhoek
Tupo hapa Selian na wengine Mt Meru tunachangia damu kuokoa maisha ya Ndugu zetu....
Pamoja na kwamba salamu na pole ni jambo jema, muhimu zaidi ni michango yetu kwa wanadamu wenzetu katika kuokoa maisha yao, na namna ya kusaidia familia zinazoachwa bila msaada baada ya kuwapoteza wategemezi wao.Hao chadema ni wamewahi tu hizo salamu ila CCM hutuma karibu awamu zote patokeapo janga na Wala hawaangalii nani ametuona kama sisi ni wakwanza kifupi hashindani ila anatekeleza wajibu wake
Shukrani Mkuu....Mungu awabariki sana.
Chochote chema ufanyacho kuyaokoa maisha ya mwanadamu mwenzako kina baraka mbele za Mungu.
Pole sana wanafamilia waliopoteza ndugu zao, na majeruhi wote.
Asante sanaPoleni Arusha
Tetesi za kusogeza mbele tukio lenu ni za kweli?Asante sana
hakuna hicho kitu , sababu iwe nini ?Tetesi za kusogeza mbele tukio lenu ni za kweli?
Mko msibanihakuna hicho kitu , sababu iwe nini ?
Raisi nilionq kapost pale XMsiba Mzito huu Ikulu haijatia neno?