Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sitaki kuleta porojo, muda wa maneno matupu umekwisha, kwa sasa ni vitendo, ushahidi huu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika !CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU HADI NABII SHILLA AMELITHIBITISHA HILO✌✌SWALA.
Kuna taarifa kwamba baada ya kupima mambo yule dada anawaza kukimbia jimboWaliotarajia CHADEMA iwe imekufa,watasubiri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna taarifa kwamba baada ya kupima mambo yule dada anawaza kukimbia jimbo
hata akijaribu kugombea itakuwa kwa kulazimishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya hatupendagi ujingahata akijaribu kugombea itakuwa kwa kulazimishwa
Sitaki kuleta porojo , muda wa maneno matupu umekwisha , kwa sasa ni vitendo , ushahidi huu hapa
View attachment 1498578
Nonsense!!CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU HADI NABII SHILLA AMELITHIBITISHA HILO[emoji3577][emoji3577]SWALA.
pole mkuuNonsense!!
Acha utani MUNGU yupi huyo mwenye mipango na wahuni wa chademaCHADEMA NI MPANGO WA MUNGU HADI NABII SHILLA AMELITHIBITISHA HILO[emoji3577][emoji3577]SWALA.
Sasa huo moto uko wapi hapo kamanda? Naona kamanda Sugu aka rais wa Mbeya anahutubia mkutano na sijaona moto po pote pale [emoji16][emoji16][emoji16]Sitaki kuleta porojo , muda wa maneno matupu umekwisha , kwa sasa ni vitendo , ushahidi huu hapa
View attachment 1498578