Huyu mtu ni mwiba kwa CCM, tangu miaka ya 90 alikuwa mpigania haki asiyeogopa chochote,kifupi hatshwishi na loloteSitaki kuleta porojo, muda wa maneno matupu umekwisha, kwa sasa ni vitendo, ushahidi huu hapa
View attachment 1498578
Hawawezi kuua Chadema kwa sababu Chadema Ni Roho,ila wanaweza kuua wanachadema.hata akijaribu kugombea itakuwa kwa kulazimishwa
Mimi sio mtu wa Mbeya ila kwa Hilo nawapenda Sana watu wa Mkoa huo.Mbeya hatupendagi ujinga
Ndaga ujobhileMimi sio mtu wa Mbeya ila kwa Hilo nawapenda Sana watu wa Mkoa huo.
Ila daa kama CDM, imeshindikana kuuawa 2015-2020,na hadi leo bado watu wanawaelewa!! Muiache tu, kwani COMBINATION YA CCM, POLISI, MSAJIRI, NA VYAMA VINGINE, ilikuwa sio ndogo lakini wameivuka!!!acheni tu hadi mungu atakavyo amua vinginenevyoAcha utani MUNGU yupi huyo mwenye mipango na wahuni wa chadema
Tofautisha Kati ya wadhifa wa mbunge na Raisi.haya ndo mapokezi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
upande wa pili cheki jamaa uku alienda kukagua tu mradi, yaani alipita tu mara moja
View attachment 1502116