Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna kitu kitafanyikaKama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
View attachment 2846088View attachment 2846090
NaamUjumbe uwafikie hata wasipochukua hatua.
Haitasaidia maana wameitia hasara nchi vya kutoshaMpaka wang'oke.
KabisaUjumbe uwafikie hata wasipochukua hatua.
Itasaidia angalao hizo kidogo zilizobakia.Haitasaidia
Walishachukua mikopo mikubwa ya mabilioni kwa mdhamana na bunge fakeItasaidia angalao hizo kidogo zilizobakia.
Upo sahihi lakini angalau ujumbe ufikeHakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop
Hiyo barua kabambe ikoje π π !Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
View attachment 2846088View attachment 2846090
Kutimiza wajibu wako usifikirie matokeo yatokanayo na wajibu husika. Fikisha ujumbe sahihi. Mpokeaji akidharau hilo ni tatizo lingine.Timiza wajibu wako daima.Hakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop
Naongelea mishahara yao iliyobakia hadi mhula huu utakapoisha.Walishachukua mikopo mikubwa ya mabilioni kwa mdhamana na bunge fake
Hakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop
Mishahara wamekopeaNaongelea mishahara yao iliyobakia hadi mhula huu utakapoisha.
NEC hii hii ya akina Kailima ?ππ
Mbona mna haraka
NEC Ndio itamwandikia Spika siyo nyie