Chadema yawasilisha barua Ofisi ya Bunge kufuatia sakata la kina Mdee

Ingekuwa haramu Mnyika angeshtaki sahihi yake kufojiwa!

Bavicha mko kizombizombi sana

Jaji keshasema Kamati Kuu ilikuwa sahihi, sasa ni kusubiri tu maamuzi ya Tume maana Wana orodha ya Zaidi ya Bawacha 56 waliopendekezwa 2020[emoji1787]
Na wewe uko kimsukule
 
wewe mlamba makombo ya Mbowe mabaki ya chakula yaliyobakishwa ndio unakula tafuteni kazi za kufanya siasa hailipi yule mataya makubwa tumbo kunenepeana mimba ya kiume amechanganyikiwa
Na wewe mshikishwa ukuta hapo lumumba tafuta kazi nyingine marinda yote yameachia limebaki bwanga tu
 
Mnaenda kufaidika na nini na muda umekwisha ?kwa nn msiwaache wamalizie tu
 
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza kuwa si wanachama halali.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Desemba 18, 2023 Katibu wa Chadema Kanda ya kati aliyepeleka barua hiyo, Emmanuel Masonga amesema pia wamepeleka nakala Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu.
Covid 19 duuuu....mikopo sasa masna bado mwaka na nusu au zaidi....kazi sana sihasa za bongo
 
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza kuwa si wanachama halali.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Desemba 18, 2023 Katibu wa Chadema Kanda ya kati aliyepeleka barua hiyo, Emmanuel Masonga amesema pia wamepeleka nakala Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu.
Akili za kichawi. Visasi tu na siasa zimewashinda. Kwani lazima Mahawara zenu ndo wawe wabunge? Mnawazia ngono tu
 
Nadhani chadema wanawazuga wafuasi wao... huenda huu mchezo ulichorwa ndani ndani huko huko ufipa
 
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza kuwa si wanachama halali.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Desemba 18, 2023 Katibu wa Chadema Kanda ya kati aliyepeleka barua hiyo, Emmanuel Masonga amesema pia wamepeleka nakala Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu.
Ni jambo la kustaajabisha jinsi bunge la ccm linawang'ang"ania hawa kina mdee. Speaker tulia na mtangulizi wake huenda wana siri. Huenda hawa kina mdee wanatembeza hela yao ya ubunge kutoa rushwa nono kila upande.
 
Hakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop

Ni kweli Bunge linawalinda, ila CHADEMA wanajaribu kuweka kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo kwamba Kuna kipindi bunge letu likiongozwa na spika mwenye PhD ya sheria, halikuheshimu Katiba ya nchi.
 
Waache wale posha za mwisho mwisho.

Posho ni Kodi ya wananchi. So CHADEMA hawana shida na posho zao, ila wanashida na uanachama. Kwamba CHADEMA haina mbunge viti maalum kwenye hilo bunge la hovyo.
 
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza kuwa si wanachama halali.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Desemba 18, 2023 Katibu wa Chadema Kanda ya kati aliyepeleka barua hiyo, Emmanuel Masonga amesema pia wamepeleka nakala Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu.
sawa,
ni katika kujipa moyo, kujifariji na kuwapa matumaini wanachama waliokata tamaa kabsaaa
 
Back
Top Bottom