Chadema yawasilisha barua Ofisi ya Bunge kufuatia sakata la kina Mdee

Chadema yawasilisha barua Ofisi ya Bunge kufuatia sakata la kina Mdee

Hivi mbona ndugu zangu mna shadidia ujinga? Shule hazina madawati, hospitali hazina dawa, watumishi hana mishahara.... Mna furahia wati 19 haramu kulipwa mabilioni ya wizi? Huu ni uhujumu uchumi.. Tuache ushabiki kwenye mambo serious..
Hata wakiwatoa hao akina Mdee wataingia wengine 19 kutokea hapo Hapo Ufipa st

Gharama iko pale pale usiwe mbwiga
 
Vilaza FC inaundwa na Mbowe form four failure, Msigwa babantilie la Tatu aliyeacha shule, Lema mwizi wa magari form two failure,sugu bwana mitepesho matakoni la 3D failure alizungusha Hisabati na masomo ya akapata wastani wa F
Jf isiruhusu vichaa kujiunga humu
 
Hakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop
Ndio maana Tanzania imo kwenye kundi la nchi zijulikanazo kama BANANA REPUBLICS! Sifa moja ya nchi hizo ni kwamba muhimili wake wa Bunge hauheshimu sheria ambazo Bunge hilo imezitunga!
 
Hata wakiwatoa hao akina Mdee wataingia wengine 19 kutokea hapo Hapo Ufipa st

Gharama iko pale pale usiwe mbwiga
Mbwiga ni wewe.
Tuna hitaji justice
Tuki ruhusu haramu leo, ita zoeleka kuonekana ni sawa kwa vile jana tumi ruhusu.
Tuwe na uchungu na nchi yetu jamani
 
Mbwiga ni wewe.
Tuna hitaji justice
Tuki ruhusu haramu leo, ita zoeleka kuonekana ni sawa kwa vile jana tumi ruhusu.
Tuwe na uchungu na nchi yetu jamani
Ingekuwa haramu Mnyika angeshtaki sahihi yake kufojiwa!

Bavicha mko kizombizombi sana

Jaji keshasema Kamati Kuu ilikuwa sahihi, sasa ni kusubiri tu maamuzi ya Tume maana Wana orodha ya Zaidi ya Bawacha 56 waliopendekezwa 2020🤣
 
Unashitaki wapi ?
 
Back
Top Bottom