CHADEMA yaweka Utaratibu mpya wa kuwaunganisha Wananchi, Ni rahisi lakini Bomba sana

CHADEMA yaweka Utaratibu mpya wa kuwaunganisha Wananchi, Ni rahisi lakini Bomba sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Unaandika tu neno "NIMO" na kuituma kwenye namba zao, Tayari unakuwa ushaunganishwa nao.

Zaidi angalia hapa

Screenshot_2025-02-17-16-22-56-1.png
Screenshot_2025-02-17-16-23-09-1.png
 
Haya ni maandalizi ya kukusanya sadaka.

Soon mtashangaa Mbowe aliwezaje kuongoza Chama kisichokuwa na pesa.
Chama gani hakinaPesa. Au ingekuwa hakina Pesa angeng'ania madaraka yanini, ulisha wahi kuambiwa fedha walizokuwa wanakatwa wabungge zaidi bilioni tatu zilienda wapi, ulishaambiwa kiasi cha ruzuku kiasi cha milioni 350 kila mwezi kipindi wanawabunge mia zilitumikaje. Mbowe chama kimemtajirisha nakwambia subiri tuone sasa kama atatoa tena hayo mamilioni au kukikopesha chama. Alikuwa anamcheka Lisu kwamba anashindwa kuchangia Miliini 30, kwa sasa hata milioni tano Hatachanga.Yeye fedha za wafadhili alikuwa anajidai anakikopesha chama na kujifanya nyingine anachangia Chama. Amejilipa mabilioni ya madeni hewa. Tuone sasa akiwa nje ya uongozi kama atatoa fedha yoyote. Kikubwa amesaidia kukijenga na kukiimarisha chama kwa mikakati yake kadiri alivyoweza hili Mbowe hatasahaulika abadani CDM
 
Back
Top Bottom