CHADEMA yaweka Utaratibu mpya wa kuwaunganisha Wananchi, Ni rahisi lakini Bomba sana

CHADEMA yaweka Utaratibu mpya wa kuwaunganisha Wananchi, Ni rahisi lakini Bomba sana

Ukijiunga tuu unapigwa mzinga wa michango sawa na yule Mchungaji wa Channel ten ukituma messeji anakupiga mzinga wa sadaka 😁
 
Haya ni maandalizi ya kukusanya sadaka.

Soon mtashangaa Mbowe aliwezaje kuongoza Chama kisichokuwa na pesa.
WATAWAPATA WAJINGA, MIMI SIMO. HAWAFAI HAWA, WAHUNI WALICHOMTENDEA MWENZAO SI WA KUAMBATANA NAO...KESHO NA WEWE WATAKUFANYIA HIVYO..WATAKUSINGIZIA WIZI, MKATE NA NUSU., KUUZA CHAMA KWA SAMIA/CCM NA UCHAFU WOTE UNAOWEZA KUFIKIRI.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FniVldLPDZc
 
kuna miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na huduma kama hizi unaambiwa tuma neno 'utamu' kujiunga ilikuwa rahisi sana ila shughuli ilikuwa kwenye kutoka na makato ya meseji ya utamu yalikuwa si haba.
 
WATAWAPATA WAJINGA, MIMI SIMO. HAWAFAI HAWA, WAHUNI WALICHOMTENDEA MWENZAO SI WA KUAMBATANA NAO...KESHO NA WEWE WATAKUFANYIA HIVYO..WATAKUSINGIZIA WIZI, MKATE NA NUSU., KUUZA CHAMA KWA SAMIA/CCM NA UCHAFU WOTE UNAOWEZA KUFIKIRI.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FniVldLPDZc

Haaaa...kweli ushindi wa Lissu imekuuma zaidi ya Mh. Mbowe kusingiziwa na state organs kuwa ni GAIDI.
Msamee basi kama uliudhika kwa kushindwa japo walishindana.
 
Haaaa...kweli ushindi wa Lissu imekuuma zaidi ya Mh. Mbowe kusingiziwa na state organs kuwa ni GAIDI.
Msamee basi kama uliudhika kwa kushindwa japo walishindana.
Uongozi mpya ulipaswa kuweka Maridhiano badala ya kunyamaza tu as if hakukuwa na jambo, huyu mlalamikaji anayo hoja, japo hakupaswa kugomea michango kwa vile Lissu na wengine watapita lakini Chadema itabaki
 
Sisi Batu ya Kongo tunasema iyo idea iko bien.
 
Haya ni maandalizi ya kukusanya sadaka.

Soon mtashangaa Mbowe aliwezaje kuongoza Chama kisichokuwa na pesa.
Kwa hiyo wewe ndio utuambie huyo Mmeo Mboo-we alikuwa anapata wapi pesa za kuendeshea CHADEMA ?
 
Back
Top Bottom