Business namba official ziwe za chama au kampuni au NGOs huwa na tarakimu tano tu na huanzia namba 15Unaandika tu neno "NIMO" na kuituma kwenye namba zao, Tayari unakuwa ushaunganishwa nao.
Zaidi angalia hapa
View attachment 3239248View attachment 3239249
Kwa niwajuavyo, TISS watakuwa wameshaandika “NIMO”!Unaandika tu neno "NIMO" na kuituma kwenye namba zao, Tayari unakuwa ushaunganishwa nao.
Zaidi angalia hapa
View attachment 3239248View attachment 3239249
Mimi SIMO!BAKULI LA LAZIMA HILO WAJINGA NDIYO WALIWAO
Na wale wahuni watajiunga.Unaandika tu neno "NIMO" na kuituma kwenye namba zao, Tayari unakuwa ushaunganishwa nao.
Zaidi angalia hapa
View attachment 3239248View attachment 3239249
Mkuu tayari, nime-test mitambo iko vizuri, nimeshaunga mkono mabadiliko kwa vitendoNIMO💪🏿📌🔨
Sawa mkuu, siku ukimaliza shule utakuja tuMimi SIMO!
Heri wanaoomba michango kuliko wanaokwapua kodi za wananchini njia mpya ya utapeli na kuomba mchango ya pesa sio?
Lissu alishashinda, unachofanya wewe ni chuki za kikeHaya ni maandalizi ya kukusanya sadaka.
Soon mtashangaa Mbowe aliwezaje kuongoza Chama kisichokuwa na pesa.
Mimi nipo Chipukizi CCM. Baadae U CCM kisha WAZAZI!Sawa mkuu, siku ukimaliza shule utakuja tu
Kazi ya TISS si kushambulia Chadema, labda kama wamebadilishiwa MajukumuKwa niwajuavyo, TISS watakuwa wameshaandika “NIMO”!
Mbona Kwa Mwamposa mnatoa?Haya ni maandalizi ya kukusanya sadaka.
Soon mtashangaa Mbowe aliwezaje kuongoza Chama kisichokuwa na pesa.
Mungu akubariki sanaMkuu tayari, nime-test mitambo iko vizuri, nimeshaunga mkono mabadiliko kwa vitendo
Stronger together
cc Erythrocyte
UmekaririBusiness namba official ziwe za chama au kampuni au NGOs huwa na tarakimu tano tu na huanzia namba 15
Msiojielewa changieni hiyo.nqmba mpigwe.mpaka mkome
Haya, subiri.Kazi ya TISS si kushambulia Chadema, labda kama wamebadilishiwa Majukumu
Sipingi kwamba wanaweza kuiingia humo ila haya si majukumu yao, hata hivyo Chadema inawahitaji hata wao wajiunge ili tuunganishe nguvu pamoja maana nao ni watanzaniaHaya, subiri.