Uchaguzi 2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

Uchaguzi 2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

Inarudisha nidhani ya viongozi hasa Raisi, kuhusehimu katiba na kufuata Sheria. Ata Kama Tundu Lisu asipokuwa Raisi hii itashtua watawala kujitambua wao sio mungu watu.

Huwezi piga hatua bila maumivu.

Kuna inchi mamilion walikufa wakapata Uhuru.
Sasa mbona Unataka kukimbia Maumivu unayohisi Unayapata ili upige hath si unaumia ndio maana unataka vurugu Tuliaaa Sawa ikuingie usikimbie
 
Mi nilidhani kuna mkakati maalumu, kumbe bado tunalalamika?!
 
Atakuwa mbele na Mama yako

Serikali itatishiwa na kauli za mtu mjinga kama huyu? Ukimuuliza kwa nini anabwabwaja vile atakuambia huu ndio uhuru wa kutoa mawazo. Wako watu wakiendelea kuendekezwa kwa sababu yeyote iwayo , hakika amani ya nchi hii itatoweka. Lazima kuwe na mpango kabambe wa kushughulika na watu aina yako na huyu kiongozi wa cdm.
 
CCM bila mbeleko hii hawana chao.
JamiiForums1791349533.jpg
IMG_20200725_062956.jpg
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom