Inarudisha nidhani ya viongozi hasa Raisi, kuhusehimu katiba na kufuata Sheria. Ata Kama Tundu Lisu asipokuwa Raisi hii itashtua watawala kujitambua wao sio mungu watu.
Serikali itatishiwa na kauli za mtu mjinga kama huyu? Ukimuuliza kwa nini anabwabwaja vile atakuambia huu ndio uhuru wa kutoa mawazo. Wako watu wakiendelea kuendekezwa kwa sababu yeyote iwayo , hakika amani ya nchi hii itatoweka. Lazima kuwe na mpango kabambe wa kushughulika na watu aina yako na huyu kiongozi wa cdm.