Hivi hawa kina Michuzi mbona wana damu ya uchawa-chawa tu? Kuna familia nyingine ni kama laana hivi. Michuzi li-blog lake ndilo lililukuwa linaongoza kwa kupitiwa na watu wengi miaka hiyo lakini uchawa ukampoza na likamfia kifo cha mende.
Mkuu mligundua wewe na nani? kwa utafiti gani? lini? Wapi? Kwa kikao gani na hadidu rejea zipi? Ugunduzi wenu umesajiliwa kwa idhibati namba ngapi?Zitto, Mbowe ni madalali wa siasa za Tz!!. Wenye akili timamu tulishagundua chadema ni kikosi kazi chakudangya wtz kwa mgongo wa upinzani.
#Mbowe atupishe chamani.
🤣🤣🤣tatizo lako huwa unajifanya unajua siasa wakati sio kweli. Fundisha watu unachoishi. Wewe ulipata kura moja kwenye kura za maoni jimboni Kawe, ila unajifanya nguli wa siasa. Saa zingine jifunze kukaa kimya.
Hata Kama sio ya kweli, kama chama kilishasusa na kutoshiriki upuuzi Kama huo!!. Kipi kimewafanya watu/aende, Kuna ajenda gani? Tukiwaambia mbowe na watu wake baadhi ni watumikaji mnakuja juu kama mmekanyagwa na nyoka. CCM sio wakushirkiana nao kwa chochote wapuuzi Sana.Mbowe atapisha. Ila hiyo taarifa ni ya uongo kabisa. Shida siku hizi JF hakuna ukweli. Mtu anaweka taarifa ya uongo halafu inaachwa. Salimu Mwalimu alihudhuria Kama mchokoza mada kuhusu 4R. Na kaonesha wasiwasi wake.
Umetajwa jina au ww n mke wa Mbowe?.Mkuu mligundua wewe na nani? kwa utafiti gani? lini? Wapi? Kwa kikao gani na hadidu rejea zipi? Ugunduzi wenu umesajiliwa kwa idhibati namba ngapi?
Mkuu huyo michuzi ni "mtu" wao kitambo kuna picha za kutoka maktaba zipo akiongoza na mchonga japo alikua ashaachia ngazi.Hivi hawa kina Michuzi mbona wana damu ya uchawa-chawa tu? Kuna familia nyingine ni kama laana hivi. Michuzi li-blog lake ndilo lililukuwa linaongoza kwa kupitiwa na watu wengi miaka hiyo lakini uchawa ukampoza na likamfia kifo cha mende.
Kwanza hawa chadema hata siwalelewi. Mara waseme Samia kakataa hoja zote za maridhiano, huku tena wanampongeza. Kwa lipi sasa??Maridhiano ni utapeli kama utapeli mwingine. Mtu mjinga tu ndio anaweza kunasa kwenye hiyo Hadaaa ya kipuuzi.
Bila shaka na Salumu Mwalimu anapita njia hiyo hiyo ya "uzanzibari kwanza"Mara ya mwisho Fatima Karume kusikika ni sakata la Fei toto.
Uzanzibar kwanza