econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hivi hawa kina Michuzi mbona wana damu ya uchawa-chawa tu? Kuna familia nyingine ni kama laana hivi. Michuzi li-blog lake ndilo lililukuwa linaongoza kwa kupitiwa na watu wengi miaka hiyo lakini uchawa ukampoza na likamfia kifo cha mende.
Kweli kabisa. Huyo Michuzi JR hajitambui kabisa. Angeweka video kabisa Kama anachosema ni kweli.