mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Habari wadau,
Mimi si muumini wa siasa za CHADEMA Ila kwa nchi ilivyo na cheo Cha Urais kilivyo ikitokea upinzani ukachukua nchi ningependa Rais awe Mbowe kwa Sababu ya Busara zake na Hekima
Kwanini Mbowe
Kwasababu Mbowe ni kiongozi wa upinzani kwa Miaka mingi na amepitia kashkash nyingi lakini hajawahi hata siku Moja kutoka Nje kuiongelea vibaya nchi yake.
Hajawahi hata siku Moja kutaka Watanzania wafanywe kitu kibaya na Mabeberu Kama wengine Wanavyofanya wala sijamsikia akila na kusherekea Pale Tanzania inapo pata kikwazo chochote kibaya chenye kuleta athari kwa Raia
Mbowe Miaka yote yeye amekuwa mtu wa kuhubiri Amani japo kuna muda huwa anaongea vitu kwa hasira halafu baadae Hekima yake inamfanya ashindwe kuyatekeleza mfano ukuta
Mbowe ndiye mtu pekee anaweza kuwa Rais wa Tanzania na nchi ikaendelea kama sasa bila tatizo lolote tofauti na wengine ambao wanaonekana kabisa kuwa wakichukua nchi kazi ya kwanza nikufirisi watu wote wa CCM na kuwafunga
Mimi siwapendi upinzani kwa siasa zao Ila nikiambiwa nichague president material nitamchagua Mbowe sababu wengine wote waropokaji