Uchaguzi 2020 CHADEMA yupo mmoja tu Mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania

Sawa lakini haki zingine kama Ushoga haikubaliki. Sio kila kinachoitwa na wazungu kwamba haki za Binadamu ni sawa kwetu waTz. Zingine hazikubaliki.
Shoga LA kwanza ni bashite na musiba na yote yako ccm halafu unajifanya unapinga ushoga
 
Ushauri wako tumeupokea lakini sisi tumeamua ni Tundu Lissu atakuwa mgombea wetu.
Washauri wako wengi na wagombea nao wako wengi lakini karata trufu ni moja tu nayo ni Tundu Lissu wengine wamepitwa na wakati wengine wakati wao bado haujafika. Wasindikizaji hawatakiwi watadhoofisha nguvu ya ushindi wa kishindo.
 
Mawazo ni mawazo ata kama sio mawazo mazuri!
 
Lumumba mnataka mgombea asiwe Lissu ili jiwe apumue, eh?
 
kwa hiyo watu wanakuwa Rais kama wana Busara na Hekima? Poor argument ! basi na kama ndivyo Mkapa na Magufuli wasingekuwa marais.Hapa duniani hasa Afrika nafasi ya Urais ni Bahati nasibu ikitokea Mtu moja au 2 wenye power wakitaka uwe unakuwa hata kama ungekuwa mropokaji kama Msiba.
 
Go to hell
 
Mbowe hana akili, weledi wala ujasiri wa kuongoza nchi. Rena saivi amechoka zaidi hatachama kishamshinda
 
Mh! Leo Mbowe wenu amakua Rubbish !!! Aisee, machadema are unpredictable creatures !!
 
Mkuu mbona una hofu sana ya kufilisiwa? Hii tabia ya watu kufilisiwa au kutaifishwa mali zao kwa sababu ya kutokuwa upande mmoja na wafilisi ilianzishwa na kuenziwa na nani?
#KATIBA MPYA ITAONDOA HOFU HIZI
 
Sawa lakini haki zingine kama Ushoga haikubaliki. Sio kila kinachoitwa na wazungu kwamba haki za Binadamu ni sawa kwetu waTz. Zingine hazikubaliki.
Duh sasa uliambiwa ushoga ni miongoni mwa sera za Chadema?
Haki ambayo tumeiongelea hapa au niliyomaanisha ni haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi.
 
Mh! Leo Mbowe wenu amakua Rubbish !!! Aisee, machadema are unpredictable creatures !!
Unpredictable creatures unawajua vizuri ndugu mtanzania hawako CDM wapo huko kwenu.
 
Sawa lakini tusubiri tuache demokrasia ichukue mkondo wake, atakuja kuwa rais tu.
 
Sawa tumekusikia kuwa Mbowe anafaa kuwa Rais hata sisi hatukatai ...hata uko ccm magufuri hafai hafai kuwa Rais ..fanyeni mpango mumuweke mtu mwingine na sio magufuri ...unaonaje mkuu huu ushauri wangu mkiufanyia kz na huku tukaufanyia kz ushauri wako ???
 
Anagombea ubunge ,sijui abadili gia angani?,unaonaje?
 
Sawa lakini haki zingine kama Ushoga haikubaliki. Sio kila kinachoitwa na wazungu kwamba haki za Binadamu ni sawa kwetu waTz. Zingine hazikubaliki.
Huo ushoga ni nani anautaka? Tafuteni kitu ingine hiyo sio sababu watu wanataka mabadiliko. Kwani huyo Mbowe atakaa maisha? Sasa akiingia mwingine si anaweza kuwa huyo shoga?? Urais ni taasisi sio mtu jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…