Uchaguzi 2020 CHADEMA yupo mmoja tu Mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania

Lisu bila mbowe kutaka hawezi kua Rais walio enda airport Jana wote wale nguvu ya mwenyekit tundulisu Hana ujanja wakumshawish yoyote yule
Lumumba mnataka mgombea asiwe Lissu ili jiwe apumue, eh?
 

Mjumbe huna santuri mpya?
 
Unafikiri kwa makalio.
 
….Ya NGOSWE mwachie NGOSWE! Hayakuhusu.

 
Kum Kumbe mnatambua madhila mnayowapa wapinzani makusudi Sasa mnaenda kanisani na misikitini kufanya Nini?
 
Kwanini Mbowe
Kwasababu Mbowe ni kiongozi wa upinzani kwa Miaka mingi na amepitia kashkash nyingi
 
Polepole mtatajana tu hii ya kukiri ubaya mnaowafanyia upinzani ipo siku mtalipa. Hii ni karma inawasumbua.
 
Hujui kua hata Zitto anafaa kua kiongozi kwa Sababu na yeye kapitia kashkash nyingi za chadema [emoji1787][emoji1787]
Polepole mtatajana tu hii ya kukiri ubaya mnaowafanyia upinzani ipo siku mtalipa. Hii ni karma inawasumbua.
 
UNA MAJANI YA CHAI
VITUNGUU SWAUMU
TANGAWIZI
LIMAOO
NDINU KARIBUUUU
CHEM MAJI LTR MOJA KWA SIKU SABA WEKA HIVYO VIUNGOO CHUJA KUNYWA GLASS MBILI KWA SIKU
HUU UGONJWA UNAONA KABISAAA

KUJIFUKIZA RISKY MKARATUSI NAYODAWÀ
 
SASA KWA NINI MBOWE MMEHARIBU NA MMEMFILISI MALI ZAKE ZOTE WAKATI NI MTU MWEMA HIVYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…