CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
 
MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE
Hii lazima ilete shida,maana watu wanajiuliza kwanini CHADEMA hawashiriki,wanapewa ufafanuzi,huoni ni changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…