Uchaguzi 2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

Masanjaone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
844
Reaction score
597
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.

sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa.

misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo
1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa aliondoka sababu yakunyimwa kugombea uraisi
2.kauri ya mh mbowe kuwa mzee lowasa alikuwa na mtaji kuja kwake chadema.

mambo haya yaliniongoza kubaini yafuatayo...
mh mbowe alilenga kuongeza rudhuku na mapato ya chama nasiyo yachama kuongoza nchi na kuwaletea ukombozi wananchi wamabo waliyokuwa wakihubiri nahivyo ikanipa majibu yakwamba Dr slaa hakuwa na uchu wa uraisi km sababu zilizotolewa na mbowe.

hii ilinifanya kupata majibu ya msingi wa kwanza wasababu za dr w.slaa kuondoka chadema nanikaamini alichokisema dr slaa.
kufikia leo wakati naleta summary ya utafiti huu nimeniridhisha na kile nilichobaini ktk utafiti wangu kuwa ! Nikweli mh mbowe lengo lake lakumpokea mh Lowasa ilikuwa ni MA- PESA
Nabaada ya kuzipata nimebaini kuwa ametengeneza matundu haya yafuatayo kujinufaisha na pesa za chama yeye na kundi lake.
matundu hayi ni...
1.Mawakiri... amekuwa mtengeneza vurugu ili chama kipate kesi atumie mawakiri kupiga pesa! Maana wakiri msomi km kibataraa niwakiri wa viwango vya juu halipwi hela ya nyanya.
ndio maana kila mara anatafta migogoro yakuperekwa mahakamani kila mara kuelekea uchaguzi ili baada ya uchaguzi akutwe amekomba account yte.
Mtu anaweza kuuliza kwanini asichote tu pesa! Jibu nikwamba CAG wasasa hana mahusiano nae km alivyokuwa prophesor.
tundu la pili. Ni anatumia matibabu ya tundu lisu na baadhi ya wabunge walio ktk timu yake kupiga pesa pale wanapo ugua au kutengeneza ugonjwa wakwenda kutibiwa nje ya nchi. Nadhani mnawajua.
kama hamuwajui angalieni ndani ya chadema wabunge wanawake wanaoongoza kwenda kutibiwa nje ya nchi akiwemo yeye mwenyewe..hili nalo ni tundu.
Tundu jingine ni.sare za chama, bendera ,kumbi za warsha na mikutano, pamoja na ukodishaji wa ndege za kusafiria bila sababu za msingi.
huu ni muhitasali tu wa utafiti! Utafiti wote nitauweka kupitia magazeti na kitabu nitakachokitoa hivi karibuni ambacho nimekipa jina la Niwapi kilipoanguka chama kikuu cha upinzani bungeni chadema?
lakini pia nitafanya mahojiano na vyombo vya habari kupitia runinga very soon.
 
Wewe Masanjaone na @Wakudadavua ni wamoja!!??
Mbona mnapenda kuizungumzia CDM sana kuliko hilo "genge lenu la wachawi"!!?
 
Kwa uandishi huo buku 7 leo imekupita pembeni!Tumia muda kujifunza kuandika!
 
wabongo bhana oky mimi sio chadema wala sio ccm wala sina chama lakini ni vizuri sana nyinyi kama wasomi mngejikita katika kutadhama maudhui ya ujumbe wa huyu jamaa lakini sio tu kuponda sijui ajui kuandika mala utafiti gani? Aisee yaan ndio maana nikasema vyama vyote pamoja na watu wao wote wana malengo yao binafsi kupitia vyama vyao yaan hakuna chama kilichokuwa tayari kwaajili ya kutete taifa hili ila vyana vyote vipo kwaajili ya kunufaisha maslai yao basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana kuona katika muongo huu bado kuna Mtanzania (Mtu Mzima) asiyejua kusoma na kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Mheshimiwa Rais, naomba moja ya vipaumbele kwenye awamu yako ya pili iwe ni "Elimu Bure kwa Watu Wazima"
 
jifunze kwanza kutofautisha "r" na "l". Pia kama unaona Mbowe anapiga hela za ruzuku basi na wewe anzisha chama chako upige pesa pia
 
Umbea unapendeza iwapo unajua kuandika kwa ufasaha, sasa ww unaongea umbea kisha hata kuandika kwa ufasaha huwezi, huoni ni vyema muda huu wa kuandika umbea ungejitahidi kujifunza kuandika kwa ufasaha?
ww ndio nini wewe mwerevu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…