Uchaguzi 2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

Ila Jf ni ya ajabu kweli et watu wanaona mleta mada kaandika ujinga tu ila mtu aliyeandika kutaka Corona ije Tz walimuunga mkono kwamba kaandika jambo la maana.
 
Admin nibora ungetoa nyuzi zangu zte! Ila huko kwenye magroup linejadiriwa sana.
 
Pale juu umesema ulikuwa safarini ndio maana ukaandika pumba (typing error), ukidai ulishafika, sasa mbona bado unaendeleza pumba tu?!

Admin hakuonei, kwa aina ya uandishi wako wanaogopa kushusha hadhi ya jukwaa.

Nimeamini ile tafiti ya Twaweza ilikuwa sahihi 100%, CCM inapendwa na wajinga!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichokiandika wa juu (mtoa post) na ulichokiandika wewe ndio kileee kileee (in bwege's voice)

Kidole kilichoandika post kule juu na kidole kilichocoment hapa chini ndio kileee kileee (in bwege's voice)

Mtoa post hapo juu na mtoa comment hapa chini ndio yulee yulee (in bwege's voice)

Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe au unacheza drafti peke yako halafu unashangilia umeshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kuna typing error katika andiko langu! Hii ni kwa sababu wakati na andika niikuwa niko ndani ya bus nikisafiri kutoka dar to moshi,
Hivyo mniwie radhi kwa makosa hayo.

Lakini pia naomba mzingatie maudhui ya andiko lenyewe, kwakuwa ktk michango yawachangiaji wote hakuna aliyepinga au kutoa ufafanuzi juu ya...

1.Mh. Mbowe amekuwa mtengeneza kesi zisizo na sababu ambazo
Zinakigarimu chama mamilions ya
Pesa kupitia mawakiri! (Naamini mh.
Mbowe siyo mjinga kiasi hicho.)

2.hakuna anayeweza kupinga kuwa
Mh. Mbowe anakikundi chake ndani ya chama anaoshirikiana nao katika
Ufisadi wa kutengeneza issue ili
apige pesa.
Nahili limethibitishwa juzi kwenye
Hukumu waliyopewa yeye nakikundi
Chake mahakama ya kisutu.
Ukimuondoa jesca huyo alijimix
Mwenyewe,
Anae bisha anipe majibu ya ukimya
Wa waheshimiwa hawa..
Mh. Joseph 30
Mh. Komu
Mh. S.kubenea
Mh. S.kiwanga
Mh. Lijua likari
Mh. Silinde
Pamoja na baadhi ya wabunge wa
Kuteuliwa! Hii nikwasababu kuna wa
Bunge wameshalisema sana hili
Jambo wakitaka chama kiache migo
goro isiyo na sababu maana inaki
gharim chama.
Hawa wabunge wanataka chama ki
Tumie fedha zake ktk mambo ya
Msingi km vile kujenga ofice, kuso
Mesha vijana, na kuimarisha mfumo
Wa chama ktk uongozi na sera.

Hivyo nawaomba mkae mkao kusiki mengi kutoka ktk utafiti uliosheheni mambo makubwa yatakayo tufanya kuwa makini ktk vyama hivi vya upinzani , maana kuna watanzania wamepoteza maisha, wamekuwa vilema, nawengine walikaa magerezani na hawakupata kusaidiwa kwa chochote japo walihamasishwa na chama kuandamana, kufanya mikutan kama wanavyo hamasishwa sasa, japo walikomea kupata msaada wakisheria kutoka kwa mawakiri wakati huo mwenyekiti mbowe na kundi lake wakipiga pesa.
Wajinga ndo waliwao. Waliendaje kuandamana wakati aliyewatuma kabaki nyuma. Wajifunze kwa mifano hai. Ukiambiwa na kiongozi kuandamana subiri nayeye aje kwenye mstari usijifanye wewe unauchungu sana na nchi hii kuliko Mkiti wako.
 
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.

sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa.

misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo
1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa aliondoka sababu yakunyimwa kugombea uraisi
2.kauri ya mh mbowe kuwa mzee lowasa alikuwa na mtaji kuja kwake chadema.

mambo haya yaliniongoza kubaini yafuatayo...
mh mbowe alilenga kuongeza rudhuku na mapato ya chama nasiyo yachama kuongoza nchi na kuwaletea ukombozi wananchi wamabo waliyokuwa wakihubiri nahivyo ikanipa majibu yakwamba Dr slaa hakuwa na uchu wa uraisi km sababu zilizotolewa na mbowe.

hii ilinifanya kupata majibu ya msingi wa kwanza wasababu za dr w.slaa kuondoka chadema nanikaamini alichokisema dr slaa.
kufikia leo wakati naleta summary ya utafiti huu nimeniridhisha na kile nilichobaini ktk utafiti wangu kuwa ! Nikweli mh mbowe lengo lake lakumpokea mh Lowasa ilikuwa ni MA- PESA
Nabaada ya kuzipata nimebaini kuwa ametengeneza matundu haya yafuatayo kujinufaisha na pesa za chama yeye na kundi lake.
matundu hayi ni...
1.Mawakiri... amekuwa mtengeneza vurugu ili chama kipate kesi atumie mawakiri kupiga pesa! Maana wakiri msomi km kibataraa niwakiri wa viwango vya juu halipwi hela ya nyanya.
ndio maana kila mara anatafta migogoro yakuperekwa mahakamani kila mara kuelekea uchaguzi ili baada ya uchaguzi akutwe amekomba account yte.
Mtu anaweza kuuliza kwanini asichote tu pesa! Jibu nikwamba CAG wasasa hana mahusiano nae km alivyokuwa prophesor.
tundu la pili. Ni anatumia matibabu ya tundu lisu na baadhi ya wabunge walio ktk timu yake kupiga pesa pale wanapo ugua au kutengeneza ugonjwa wakwenda kutibiwa nje ya nchi. Nadhani mnawajua.
kama hamuwajui angalieni ndani ya chadema wabunge wanawake wanaoongoza kwenda kutibiwa nje ya nchi akiwemo yeye mwenyewe..hili nalo ni tundu.
Tundu jingine ni.sare za chama, bendera ,kumbi za warsha na mikutano, pamoja na ukodishaji wa ndege za kusafiria bila sababu za msingi.
huu ni muhitasali tu wa utafiti! Utafiti wote nitauweka kupitia magazeti na kitabu nitakachokitoa hivi karibuni ambacho nimekipa jina la Niwapi kilipoanguka chama kikuu cha upinzani bungeni chadema?
lakini pia nitafanya mahojiano na vyombo vya habari kupitia runinga very soon.
Upumbavu tupu umeandika.

Uliona wapi?Chui anamshauri mtoto wa swala jinsi ya kukimbia, umeandikiwa insha alafu umepewa upost, vijana wa Lumumba hopeless kabisa
 
Umbea unapendeza iwapo unajua kuandika kwa ufasaha, sasa ww unaongea umbea kisha hata kuandika kwa ufasaha huwezi, huoni ni vyema muda huu wa kuandika umbea ungejitahidi kujifunza kuandika kwa ufasaha?
Mtu mbea huwa anaongea ukweli ila anaongea sehemu sio sahihi. Mbea ni mkweli.
 
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.

sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa.

misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo
1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa aliondoka sababu yakunyimwa kugombea uraisi
2.kauri ya mh mbowe kuwa mzee lowasa alikuwa na mtaji kuja kwake chadema.

mambo haya yaliniongoza kubaini yafuatayo...
mh mbowe alilenga kuongeza rudhuku na mapato ya chama nasiyo yachama kuongoza nchi na kuwaletea ukombozi wananchi wamabo waliyokuwa wakihubiri nahivyo ikanipa majibu yakwamba Dr slaa hakuwa na uchu wa uraisi km sababu zilizotolewa na mbowe.

hii ilinifanya kupata majibu ya msingi wa kwanza wasababu za dr w.slaa kuondoka chadema nanikaamini alichokisema dr slaa.
kufikia leo wakati naleta summary ya utafiti huu nimeniridhisha na kile nilichobaini ktk utafiti wangu kuwa ! Nikweli mh mbowe lengo lake lakumpokea mh Lowasa ilikuwa ni MA- PESA
Nabaada ya kuzipata nimebaini kuwa ametengeneza matundu haya yafuatayo kujinufaisha na pesa za chama yeye na kundi lake.
matundu hayi ni...
1.Mawakiri... amekuwa mtengeneza vurugu ili chama kipate kesi atumie mawakiri kupiga pesa! Maana wakiri msomi km kibataraa niwakiri wa viwango vya juu halipwi hela ya nyanya.
ndio maana kila mara anatafta migogoro yakuperekwa mahakamani kila mara kuelekea uchaguzi ili baada ya uchaguzi akutwe amekomba account yte.
Mtu anaweza kuuliza kwanini asichote tu pesa! Jibu nikwamba CAG wasasa hana mahusiano nae km alivyokuwa prophesor.
tundu la pili. Ni anatumia matibabu ya tundu lisu na baadhi ya wabunge walio ktk timu yake kupiga pesa pale wanapo ugua au kutengeneza ugonjwa wakwenda kutibiwa nje ya nchi. Nadhani mnawajua.
kama hamuwajui angalieni ndani ya chadema wabunge wanawake wanaoongoza kwenda kutibiwa nje ya nchi akiwemo yeye mwenyewe..hili nalo ni tundu.
Tundu jingine ni.sare za chama, bendera ,kumbi za warsha na mikutano, pamoja na ukodishaji wa ndege za kusafiria bila sababu za msingi.
huu ni muhitasali tu wa utafiti! Utafiti wote nitauweka kupitia magazeti na kitabu nitakachokitoa hivi karibuni ambacho nimekipa jina la Niwapi kilipoanguka chama kikuu cha upinzani bungeni chadema?
lakini pia nitafanya mahojiano na vyombo vya habari kupitia runinga very soon.
Rudi Darasani. Hujui kuandika ndio maana UMEKOMAA na UkABILA kama mbadala wa siasa zako. Magufuli mwenyewe siyo msukuma. Zindukaaa
 
Unaandika "kauri" mara "mawakiri" hivyo yeyote anayesoma anauona upumbavu wako kabla ya kufikiri unakusudia nini na umbea wako.
JF ni home of great thinkers, nadhani umeingia mahali sio pako. Pambaf!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom