Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Sasa ungesema vizuri kweli.. wote hao wana super power ila wana race tofauti ndio maana nguvu zao hazifanani.
Mfano..Wanda ni mutant si binaadamu wa kawaida so nguvu zake lazima ziwe tofauti. Thor ni god! mungu wa radi na anaabudiwa na jamii ya watu fulani. Vision ni robot/autobot iliyotengenezwa kwa strong Artificial Intelligence nk..
Akina tony..cap..scott..winter..wote hao wana kitu cha ziada kilichofanya wawe super power.
Watu ambao ni natural super hero ni Natasha..Hawkeye...hawa ni trained agent tu.

Marvel tamu sana..
 
Mkuu ni kweli kabisa ukiwa mshabiki wa muvi hizi unafunguka akili..unakua unakua vitu vingi. Hawa majamaa hawaigizi ujinga..wakiigiza kitu basi ujue kinakuja kutokea soooon..
Yaani sijui utaisema marvel sehemu ipi nishindwe kuchangia... Kama hawajamaa wameshindwa kuelewa muvi za phase zilizopita basi zijazo hawatelewa. Maana sasa hivi watakua wanadeal na viumbe wengine kutoka sayari na Universe tofauti. Eg.. Eternals.
Kama wapo weupe kichwani kwenye fiziksi au Cosmology lazima waone ni utoto tu
 
Unavyonishangaa ndio mimi navyowashangaa mnaopenda
  • Mpira
  • Pombe
  • Na Club
Hasa hapo kwenye mpira na pombe sijui mnainjoi nini
Wewe ni Mimi kabisa mkuu jinsi ninavyoishi kuna raia wananitaniaga eti sina dhambi.
 
black widow
 
Natasha ni nani mkuu then Black Widow namuonagaonaga tu muelezee kwanza.

Aim ya kumjenga Vision ilikuwa nini hasa na kwanini baadae akawa na muonekano wa binadamu ??

Kuna Seen Hawkeye anamzuia Wanda kwenye Civil War kwanini ??
 
Natasha ni nani mkuu then Black Widow namuonagaonaga tu muelezee kwanza.

Aim ya kumjenga Vision ilikuwa nini hasa na kwanini baadae akawa na muonekano wa binadamu ??

Kuna Seen Hawkeye anamzuia Wanda kwenye Civil War kwanini ??
Natasha Ramanoff ndio black widow KGB Agent huyo..

Vision alitokana na Artificial Intelligence iliyokua kwenye suti za za Iron man inaitwa J.A.R.V.I.S
Ultron alimtengeneza Vision kwa kutumia JARVIS..thor alikuja akamuwekea mind stine kichwani inayompa nguvu. Lakini lengo la jwanza kabisa kumuumba vision ni tony ndio alimshirikisha bruce burner stark alitaka amtengeneze amtumie. Vision alikua ni strong AI ndio maana alikua anabadirika kuwa mwanadamu japo katika hali ya kawaida AI inaweza ku Evolve ila haiwezi kuwa mwanadamu (wanakujulisha kua unaweza tengeneza mwanadamu maabala kwa kutumia AI)

Hiyo sehemu clint anamzuia wanda kufanaje..? Au ni pale wanda alikua ndani Clint akaenda kumchukua vision akapigana na Clint?

Kama ni hiyo wanda alikua kawekwa ndani kama kawekwa kiziwizini na Stark ili asiende kwa Steve vision akawekwa kmaa mlinzi..baadae clint kaenda kumchukua ndio vision akapigwa na wanda.
Kwanini Clint alienda kumchukua??
Kwakua baada ya kaka yake wanda kufa kwenye avangers clint ndio alibaki kama mlezi wake.. maana alikua anawasahauri sana yeye na kaka yaje. Hata kaka yake wanda (Quick silver) alikufa akiwa anamlinda Clint

NB. Wanda na Quick silver ni watoto wa Magneto.. yupo X men.
 
Ais
Aisee hizi ni Module kabisa kama unasoma Forex hizi story za Avenger.
 
Kuna link naionaga kati ya Thaanos na wale watu wa Guardians of thr galaxy especially yule Villan wao simjui jina kama kuna sehemu hivi thanos kakaa kwenye kiti anaongea na yule Villan sikumbuki Seen ya movie gani ile...kuna uhusiano gani kati yao.

Kuna Nebula yule namuonaona tu hemu muelezeee namuonaona tu sijui robort aisee.

Kuna Seen Avenger Endgame inavyoanza sijaelewa yule Thanos vipi ile Past au Present sijaelewa tu ile Seen kwenye Infinity kafa Thanos then pale yupo hai alafu mbugira kama mkulima.

Endgame inavyoanza Tony na Nebula wapo juu wamekata tamaa wamekwama ilikuwaje.
 
Ipo hivi..
Huyo adui unayemzungumzia ni Ronan rhe accuser..huyo ni kama mfanyakazi wa thanos! Alikua anaagizwa na thanos ndio hapo ulipoona alikua kaenda kurepot. Pia Lokii alienda kwa thanos kuomba jeshi aakapewa mwaka 2012.

Nebula alikua ni bianaadamu ambae amekua_Adopted na thanos. Thanos kamtengeneza kwa kutoa baadhi ya viungo vyake na kuweka robot so nebula ni nusu mtu nusu robot (race yake siijui ila sio mwanadamu japo nahisi atakua ni race ya kree)

Thanos kwenye infinity hakufa.. baada ya kukamilisha kazi alienda zake kupumzika huko akawa mkulima...ndio akina steve wakamvamia thor akamuua. So baadae thanos alifanya time traveling kutoka 2014 hadi 2023 kuja kuwaua avangers maana aliona kua mbeleni walimuua (aliona jinsi thor alivyomkata kichwa

Baada ya infinity war nebula na tony ndio walibaki..so walikwama kwenye deep space na ndege yao ilikua imeharibika. So Carol Danvers ndio aliwaokoa huko
 
aaah
aaah 2012 ndio ile Avenger adui Loki yale madubwasha makubwa yanatoka juu ambayo pia yako kwenye Endgame hapo nimeelewa kumbe midubwasha ya Thanos.
 

Hahahahaah yaan unakuta baba mzima malaya tu kazi kubadili wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…