Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa


Watu mna matusi jamani
Mim hizo movie huniambii kitu aisee tena huyo boseman nampenda mno alifit kuigiza king of wakanda yaan alikuwa akitokea na ule mwanga lazima nipige kelele kwa shangwee
 
Boss nikisema hivi 'kila anayefuatilia MCU ni smart' kwahiyo ndio nimemaanisha wasiofuatilia ni Mbugira.

Vyema ukasoma vizuri.

Sio vizuri unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aaah

aaah 2012 ndio ile Avenger adui Loki yale madubwasha makubwa yanatoka juu ambayo pia yako kwenye Endgame hapo nimeelewa kumbe midubwasha ya Thanos.

Kwa hiyo watu smart mmebaki mnajadilii hojaa
Mbugira kimyaa [emoji23]
 
Inasikitisha. Kumbe watu tunawaona wanafuraha kumbe ndani wanapigania maisha yao. Sikuwahi kusikia mahali kuwa ana cancer. Too sad. Kaondoka kijana mbichi kabisa. Mungu ampumnzishe kwa amani.
Jamaa alikuwa vizuri mno nilibahatika kumuona kwenye movie ya 21 bridges
 
yaani mtu anadiss comics, halafu anaenda kuangalia movie nyepesi sterling anafia kwenye maua, na scene ya ngono kwenye makochi😀😀.

yaani kuna movie inaisha halafu unashangaa imeisha ishaje!!
 
Zina storyline yake nzuri na inaitaji ubongo sana kuifatilia kifupi Mbongo anaefatilia Marvel Movies lazima atakuwa Smart tu hata maisha yake yakawaida malachache sana kumkita mbugira wa mtaani anafuatilia Marvel Comics Movie.
Naona umejitahidi kuzipamba movies za kitoto, Marvel Comics Movies ni movies za kitoto (japo watu wazima wanaweza kuvutiwa nazo pia). Hivi kabisa wewe unaona movies kama Captain America, Spider Man, Ant-Man, The Incredible Hulk zinahitaji uwe smart kuziangalia. Utasemaje kuhusu movies kama Enemy, Memento, Predestination, Interstellar, Looper, Se7en, Arrival, The Prestige?
Kama inahitaji ubongo sana kuangalia Spider Man, Chief utaweza kuangalia Inception kweli? Sidhani kama utaweza! Utarudisha movie nyuma kila muda.
 
Mbona unachanganya Category Boss Movie za Category zote mbona tupo deep ila hapa tupo kwenye Si-Fi usichanganye nzisha uzi wa hizo category nyengine uwone tunavyokufanya ujui..

Then sisi hatuzungumzii kuangalia tunazungumzia kufuatilia kuangalia hata mtoto wa chekechekea anaweza.
 
Acha kuruka ruka Kiongozi! Hakuna mahala umezungumzia Sci-Fi movies.
Wewe umezipamba Marvel Comics Movies kuwa ni movies zinazoangaliwa na watu smart, mimi nakuambia ni movie za kitoto (japo watu wazima wanavutiwa nazo pia). Sawa, unazungumzia kufuatilia movie sio kuangalia, mzee unamaanisha movies za kitoto kutoka Marvel zinahitaji nguvu kubwa ya ubongo kuzifuatilia?
Hata tukija kwenye hiyo category ya Sci-Fi movies, bado hizo movies kutoka Marvel zinaendelea kuwa za kitoto, zaidi ya nusu ya hizo movies nilizokutajia ni Sci-Fi.
Halafu usiniambie nianzishe uzi, ninachokujibu umekiandika katika uzi huu Boss.
 
Mambo kama yapi yalitokea kutokana na movie za namna hiyo?!
 
Inception ni noma zaidi.
 
Wakanda forever ...to the eternity rest in paradise Chadwick boseman
 
Aisee 2022 sijui Black Panther 2 itakua vipi,maana ishatengenezwa na jamaa amefariki! Ila Omari Hardwick wa Power anafaa kurithi hiki kiti! #WakandaForever
Hii movie sijawahi kuianalia kuna watu wawili watatu walisema ni ya kipuuzi tu nami nikahisi ya kipuuzi maana movie za ma super heroes kama spiderman, batman, iron man, thor and the like uwa sizielewi. Na fast and furious naona nayo franchise yake kwangu inaanza kupoteza taste yake ya mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…