Uchaguzi 2020 Chagua CCM 28 Oktoba 2020

Sijawahi kuichagua CCM tangu 1995 na kamwe haitatokea mimi kuichagua CCM.
 
Mnapotumwa kupost uzi kama huu muwe mnapima basi na nyie kama kuna mantiki yeyote. Hivi mtuma uzi umejaribu hata kuusoma uzi wenyewe? Au umepewa tu na wewe ukaupost tu bila hata kuupitia
 
Kuiuza CCM ni sawa na kuuza Bundi jirani na banda lenye kuku
 
Tuache unafiki ( mimi ni CCM damudamu, ila sijapenda uonevu na ubabe, na ubaguzi)

Rais: LISSU
Mbunge: CCM
Diwani : CCM
 
Kabla sijamsikiliza Lisu, nilikuwa hivi kimsimamo wa Kura.
1. Rais Magufuli (CCM).
2. Mbunge Upendo Peneza(Chadema).
3. Diwani CCM.

Kwa Sasa baada ya kumsikiliza Lisu ni hivi.
1. Rais Lisu(Chadema)
2. Mbunge, Upendo Peneza(Chadema)
3. Diwani, CCM.
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…