Ka Corolla kangu kanafuta vizuri hiko kisahani ,nikiona habari za magari roho inauma ka Corolla kangu nimekula nako mzinga wiki mbili nyuma nipo na maumivu ya kiuno ,natembea Kama nimebambiwa nyuma .
Aise Mungu niponye niirudishe Corolla yangu katika hali yake maana wanakijiji wanaomba nisiamke Wala gari isipone