Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Exposure yake Kubwa Kimataifa

2. Kiburi cha Elimu na Akili Kubwa kutoka kwa Kabila lake

3. Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu

4. Kutopenda Unafiki na Kujipendekeza kama walio wengi

5. Kutokuwa Muumini wa Uswahili Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wetu Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi

6. Kuchoshwa na Majungu

7. Kukemea Mambo ya Kiitifaki ambayo mengine yatamuaibisha Mtu na hata Watanzania wengine wote

Nawaamini Great Thinkers wa JamiiForums na naamini hapa mtatiririka na kuserereka vyema juu ya hili na Kuchagua Jibu lako moja tu unaloliona ni sahihi Kwako.
 
1,3,4,5,6,7...zote hizo zinaingia.....kaamua kuacha wafu wazikane wenyewe
 
Kuna 'nyepe nyepe' moja kuhusiana na hiyo #7 nimeisikia na kulazimika kuanza Kuamini kuhusu Kutumbuliwa Kwake, ila kwa sasa ngoja ninyamaze.
Pamoja na saba ndio kiini ila 4 na 5 pia vimechangia, maana inafika mahali unataka usimamie miiko yako ila kwa Tz ni ngumu kuitumia taaluma yako kiusahihi bila kuwa mpiga nyimbo za kusifia
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
Mimi naamin namba 7 imemuondoa na kingine wivu bibi tozo alienda state akapokelewa na vp ila yeye kapewa uzito mkubwa na Biden kaitwa kabisa white house
Screenshot_20221003-015159.jpg

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Alikataa mother kupanda bus la Majinja kule UK kwamba lingeshusha hadhi yake na Taifa kwa ujumla, ndomana hukumuona Kagame akipanda bus kule.
Kuna Mtu kanidokeza kuwa hili lilimkera zaidi Balozi Mulamula na hakutaka Watu wa Itifaki waliruhusu kwani alishalipima kuwa lingeleta Picha mbaya kwa Boss wake, Taifa na Watanzania ila akapuuzwa.

Sijajua na kama Busu la Msumbiji lilimkera pia huyu Mtani wangu wa Kihaya ambaye ni Zao la Mfumo na pia She's very Intelligent halafu anajiamini vile vile.
 
Ila kiukweli Kule msumbiji Ile ilikuwa aibu sana aisee sijui kwanin aliamua kufanya vile

Kaka mkubwa we mbobezi wa hizi mambo hebu tupe fununu hata Kwa code tu

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
None of the above...

Inawezekana mama mula alianza kujenga kibanda chake...

Hebu angalia hii trend ndiyo utanielewa:

Nyerere Presidency;
Foreign Minister - Himself Nyerere

Mwinyi Presidency;
Foreign Minister - Benjamine Mkapa

Mkapa Presidency;
Foreign Minister - Jakaya Kikwete

Kikwete Presidency;
Foreign Minister - Asha-Rose Migiro

Kuanzia kwa Magu nadhani unajua kilichotokea..

From there Mawaziri wa Mambo ya Nje wamekuwa kizungumkuti.

Kinachonishangaza ni kwa nini Sa100 hii wizara nyeti inayotakiwa kuzalisha Presidential Figures anapendelea kuwapa wanawake?

Kuna mambo hatakiwi kuvuruga status quo aliyoikuta, mfano kumpeleka Tax WU ilikuwa a bit awkward.
 
Bado Balozi Liberata Mulamula atabaki kua genius kwenye wizara husika, Rais Samia kuna mambo anafanya kama uswahili alitoa kwa Ruto kidude gani sijui, kaja kutuaibisha Msumbiji yaani hakufanya cheers alifanya kissing yote hayo anavunja itifaki wazi wazi
 
Mimi naamin namba 7 imemuondoa na kingine wivu bibi tozo alienda state akapokelewa na vp ila yeye kapewa uzito mkubwa na Biden kaitwa kabisa white houseView attachment 2375509

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Na Wewe Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula yaani umepata access ya kupiga Picha na hawa Viongozi Wakubwa wa Dunia wakati 'Boss' wako alitoswa na access ya Kiurahisi aliyoipata ni Kudandia tu 'Dala Dala' London akiwa na Kondakta wake Hustler wa Jirani...!!!!

Kwa Picha yako hii hata Mimi Mpanda 'Dala Dala' la London na Kuwahi Dirishani GENTAMYCINE ningekutumbua tu.

Huna Adabu kabisa.......
 
Bado Balozi liberata mulamula atabaki kua genius kwenye wizara husika, Rais Samia kuna mambo anafanya kama uswahili alitoa kwa ruto kidude gani sijui, kaja kutuaibisha msumbiji yaani hakufanya cheers alifanya kissing yote hayo anavunja itifaki wazi wazi
ndani ya ccm hakuna genius .
 
None of the above...

Inawezekana mama mula alianza kujenga kibanda chake...

Hebu angalia hii trend ndiyo utanielewa:

Nyerere Presidency;
Foreign Minister - Himself Nyerere

Mwinyi Presidency;
Foreign Minister - Benjamine Mkapa

Mkapa Presidency;
Foreign Minister - Jakaya Kikwete

Kikwete Presidency;
Foreign Minister - Asha-Rose Migiro

Kuanzia kwa Magu nadhani unajua kilichotokea..

From there Mawaziri wa Mambo ya Nje wamekuwa kizungumkuti.

Kinachonishangaza ni kwa nini Sa100 hii wizara nyeti inayotakiwa kuzalisha Presidential Figures anapendelea kuwapa wanawake?

Kuna mambo hatakiwi kuvuruga status quo aliyoikuta, mfano kumpeleka Tax WU ilikuwa a bit awkward.
Kwahiyo Stergomena ndiyo anaandaliwa kuja kuwa Rais wa Tanzania hii ambayo GENTAMYCINE naiishi?

Mwisho wa Tanzania Kuongozwa na Mwanamke ni ana mwaka 2025 au mwaka 2030 tu na si vinginevyo halafu msithubutu kutaka Kulazimisha vinginevyo Wanaume tutaamka na patachimbika.
 
Back
Top Bottom