Tutasea mengi ila hakuna anayejua kilicho chini ya sufuria au whatever mimi sifui.
Samia amekaa na Libe na amemwona kazi yake. There are two types of persons those who can talk and the dos ones. Mimi siwezi kumweka popote sababu amekuwa nje ya nchi ambayo mimi nipo. Pia namfahamu personally.
Nchi inahitaji mtu agressive kwenye mambo ya kimataifa. Haya mambo ya juzi it is only ignorant and lack of exposure persons can think of that. Wakati rais magufuli anaapishwa viongozi wa UN na mashirika mengine na mabalozi wa Tz walipelekwa kwenye mabasi je kwanini ilikuwa vyema huku na vibaya uingereza???
Libe amefanya kazi na mashirika ya EA na mengine hivyo anahitajika mtu ambaye ataongeza chumvi zaidi. Sikupendezwa na jibu alilotoa wakati vita a Ukrane ilipoanza. To be non aligned doesn't mean isolation.
Kukaa kimya ni aina ya utumwa. Tanzania hatukukaa kimya wakati Southafrica wanaonewa, Namimbia, Mozambique tulipiga kelele but we still were non aligned. Kukaa kimya ina maana sisi ni watumwa wa warusi. wakikohoa tunasema ndiyo bwana tamka ndiyo bwana itika ndiyiyo bwana nenda kwao.
Libe alitereza.