Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Naona number tatu na number nne kuna Lojik hapo kwa kauli ya Mh Rais mwenyewe leo wakati akiwaapisha Mawaziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu, ile picha na Biden na KamaraNa Wewe Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula yaani umepata access ya kupiga Picha na hawa Viongozi Wakubwa wa Dunia wakati 'Boss' wako alitoswa na access ya Kiurahisi aliyoipata ni Kudandia tu 'Dala Dala' London akiwa na Kondakta wake Hustler wa Jirani...!!!!
Kwa Picha yako hii hata Mimi Mpanda 'Dala Dala' la London na Kuwahi Dirishani GENTAMYCINE ningekutumbua tu.
Huna Adabu kabisa.......
Mwenye picha ya Mama na Baiden tunaomba tafadhali1. Exposure yake Kubwa Kimataifa
2. Kiburi cha Elimu na Akili Kubwa kutoka kwa Kabila lake
3. Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu
4. Kutopenda Unafiki na Kujipendekeza kama walio wengi
5. Kutokuwa Muumini wa Uswahili Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wetu Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi
6. Kuchoshwa na Majungu
7. Kukemea Mambo ya Kiitifaki ambayo mengine yatamuaibisha Mtu na hata Watanzania wengine wote
Nawaamini Great Thinkers wa JamiiForums na naamini hapa mtatiririka na kuserereka vyema juu ya hili na Kuchagua Jibu lako moja tu unaloliona ni sahihi Kwako.
2025 tu Wanaume halisi tutaliamsha labda tusalitiwe na chawa.Kwahiyo Stergomena ndiyo anaandaliwa kuja kuwa Rais wa Tanzania hii ambayo GENTAMYCINE naiishi?
Mwisho wa Tanzania Kuongozwa na Mwanamke ni ana mwaka 2025 au mwaka 2030 tu na si vinginevyo halafu msithubutu kutaka Kulazimisha vinginevyo Wanaume tutaamka na patachimbika.
Kwahiyo ktk majibu hayo lipo lilithibitika ni sahihi?Je kama najuwa zaidi ya hayo?1. Exposure yake Kubwa Kimataifa
2. Kiburi cha Elimu na Akili Kubwa kutoka kwa Kabila lake
3. Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu
4. Kutopenda Unafiki na Kujipendekeza kama walio wengi
5. Kutokuwa Muumini wa Uswahili Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wetu Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi
6. Kuchoshwa na Majungu
7. Kukemea Mambo ya Kiitifaki ambayo mengine yatamuaibisha Mtu na hata Watanzania wengine wote
Nawaamini Great Thinkers wa JamiiForums na naamini hapa mtatiririka na kuserereka vyema juu ya hili na Kuchagua Jibu lako moja tu unaloliona ni sahihi Kwako.
Kagame (Rwanda) hayumo kwenye Commonwealth contriesAlikataa mother kupanda bus la Majinja kule UK kwamba lingeshusha hadhi yake na Taifa kwa ujumla, ndomana hukumuona Kagame akipanda bus kule.
Haaahaha hio si kweli Kagame mwenyewe alipanda basi sema hakupigwa picha tu. Akina Macron na Trudeu walipanda basi hadi wafalme wa nchi za ulaya walipanda mabasi pia. Ni Joe Biden tu ndio aliruhusiwa kwenda na gari.Toa kabisa hio sio sababu, sema vitu vingine ila sio hilo la kupanda basi..NEver!!!Alikataa mother kupanda bus la Majinja kule UK kwamba lingeshusha hadhi yake na Taifa kwa ujumla, ndomana hukumuona Kagame akipanda bus kule.
Kagame - Rwanda yumo kwenye Commonwealth na mkutano mkuu wa Commonwealth wa 2022, ulifanyikia Kigali, Rwanda. Na Mfalme wa sasa King Charles alihudhuria huo mkutano, na bongo iliwakilishwa na VP Mpango. Rwanda walijiunga na Commonwealth ingawa walikua Francophone. Na Kagame alipanda basi pia sema hakupigwa picha tu.Kagame (Rwanda) hayumo kwenye Commonwealth contries
Ivi ubunge wake atasalia nao au ndio zindegi mirenaheeeeKuna Mtu kanidokeza kuwa hili lilimkera zaidi Balozi Mulamula na hakutaka Watu wa Itifaki waliruhusu kwani alishalipima kuwa lingeleta Picha mbaya kwa Boss wake, Taifa na Watanzania ila akapuuzwa.
Sijajua na kama Busu la Msumbiji lilimkera pia huyu Mtani wangu wa Kihaya ambaye ni Zao la Mfumo na pia She's very Intelligent halafu anajiamini vile vile.