GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna 'nyepe nyepe' moja kuhusiana na hiyo #7 nimeisikia na kulazimika kuanza Kuamini kuhusu Kutumbuliwa Kwake, ila kwa sasa ngoja ninyamaze.Namba 7
1,3,4,5,6,7...zote hizo zinaingia.....kaamua kuacha wafu wazikane wenyewe1. Exposure yake Kubwa Kimataifa
2. Kiburi cha Elimu na Akili Kubwa kutoka kwa Kabila lake
3. Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu
4. Kutopenda Unafiki na Kujipendekeza kama walio wengi
5. Kutokuwa Muumini wa Uswahili Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wetu Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi
6. Kuchoshwa na Majungu
7. Kukemea Mambo ya Kiitifaki ambayo mengine yatamuaibisha Mtu na hata Watanzania wengine wote
Nawaamini Great Thinkers wa JamiiForums na naamini hapa mtatiririka na kuserereka vyema juu ya hili na Kuchagua Jibu lako moja tu unaloliona ni sahihi Kwako.
Pamoja na saba ndio kiini ila 4 na 5 pia vimechangia, maana inafika mahali unataka usimamie miiko yako ila kwa Tz ni ngumu kuitumia taaluma yako kiusahihi bila kuwa mpiga nyimbo za kusifiaKuna 'nyepe nyepe' moja kuhusiana na hiyo #7 nimeisikia na kulazimika kuanza Kuamini kuhusu Kutumbuliwa Kwake, ila kwa sasa ngoja ninyamaze.
Wizara isikike? Imekua WCB?Uzembe na kuwa underperformance.
Wizara imekuwa ya hovyo hata haisikiki.
Kuna Mtu kanidokeza kuwa hili lilimkera zaidi Balozi Mulamula na hakutaka Watu wa Itifaki waliruhusu kwani alishalipima kuwa lingeleta Picha mbaya kwa Boss wake, Taifa na Watanzania ila akapuuzwa.Alikataa mother kupanda bus la Majinja kule UK kwamba lingeshusha hadhi yake na Taifa kwa ujumla, ndomana hukumuona Kagame akipanda bus kule.
Nakubaliana nawe 100% kwa ulichoandika.Wizara isikike? Imekua WCB?
Unaongelea underperformance ipi? Unajua CV ya huyo mama na aliyoyafanya ndani ya muda mfupi akiwa waziri?
Au unaishi mapangoni?
Ila kiukweli Kule msumbiji Ile ilikuwa aibu sana aisee sijui kwanin aliamua kufanya vileKuna Mtu kanidokeza kuwa hili lilimkera zaidi Balozi Mulamula na hakutaka Watu wa Itifaki waliruhusu kwani alishalipima kuwa lingeleta Picha mbaya kwa Boss wake, Taifa na Watanzania ila akapuuzwa.
Sijajua na kama Busu la Msumbiji lilimkera pia huyu Mtani wangu wa Kihaya ambaye ni Zao la Mfumo na pia She's very Intelligent halafu anajiamini vile vile.
Na Wewe Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula yaani umepata access ya kupiga Picha na hawa Viongozi Wakubwa wa Dunia wakati 'Boss' wako alitoswa na access ya Kiurahisi aliyoipata ni Kudandia tu 'Dala Dala' London akiwa na Kondakta wake Hustler wa Jirani...!!!!Mimi naamin namba 7 imemuondoa na kingine wivu bibi tozo alienda state akapokelewa na vp ila yeye kapewa uzito mkubwa na Biden kaitwa kabisa white houseView attachment 2375509
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
ndani ya ccm hakuna genius .Bado Balozi liberata mulamula atabaki kua genius kwenye wizara husika, Rais Samia kuna mambo anafanya kama uswahili alitoa kwa ruto kidude gani sijui, kaja kutuaibisha msumbiji yaani hakufanya cheers alifanya kissing yote hayo anavunja itifaki wazi wazi
Kwahiyo Stergomena ndiyo anaandaliwa kuja kuwa Rais wa Tanzania hii ambayo GENTAMYCINE naiishi?None of the above...
Inawezekana mama mula alianza kujenga kibanda chake...
Hebu angalia hii trend ndiyo utanielewa:
Nyerere Presidency;
Foreign Minister - Himself Nyerere
Mwinyi Presidency;
Foreign Minister - Benjamine Mkapa
Mkapa Presidency;
Foreign Minister - Jakaya Kikwete
Kikwete Presidency;
Foreign Minister - Asha-Rose Migiro
Kuanzia kwa Magu nadhani unajua kilichotokea..
From there Mawaziri wa Mambo ya Nje wamekuwa kizungumkuti.
Kinachonishangaza ni kwa nini Sa100 hii wizara nyeti inayotakiwa kuzalisha Presidential Figures anapendelea kuwapa wanawake?
Kuna mambo hatakiwi kuvuruga status quo aliyoikuta, mfano kumpeleka Tax WU ilikuwa a bit awkward.