Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

Naona number tatu na number nne kuna Lojik hapo kwa kauli ya Mh Rais mwenyewe leo wakati akiwaapisha Mawaziri
 
Kweli mkuu, ile picha na Biden na Kamara
lazima Mama amaindi kinoma,
Hustler wa jirani hata angeambiwa awe konda wa basi poa tu, ndio maana alikuwa anacheka,
 
Mwenye picha ya Mama na Baiden tunaomba tafadhali
 
nadhani moja kubwa ni ile kissing ya Msumbiji (alileta uswahili mwingi sana) kiitifaki haikuwa sawa so nadhani mama baada ya kuambiwa ukweli kuwa alikiuka protocali akachukulia personal. Lakini pia na wivu kwa maana kwa hiyo picha ya balozi na Biden ni wazi balozi amemu outshine bishosti kinamna fulani hivi na ni kama ameisema kwenye uapisho wa wateuluwa leo. Ila pamoja na yote the outstanding CV ya waziri ilikuwa inamfanya bishosti kuwa inferior to some extent, yaani ni kama hakuwa na chakumueleza kuhusu diplomasia n international relationship
 
2025 tu Wanaume halisi tutaliamsha labda tusalitiwe na chawa.
 
Kwahiyo ktk majibu hayo lipo lilithibitika ni sahihi?Je kama najuwa zaidi ya hayo?
 
Tutasea mengi ila hakuna anayejua kilicho chini ya sufuria au whatever mimi sifui.
Samia amekaa na Libe na amemwona kazi yake. There are two types of persons those who can talk and the dos ones. Mimi siwezi kumweka popote sababu amekuwa nje ya nchi ambayo mimi nipo. Pia namfahamu personally.
Nchi inahitaji mtu agressive kwenye mambo ya kimataifa. Haya mambo ya juzi it is only ignorant and lack of exposure persons can think of that. Wakati rais magufuli anaapishwa viongozi wa UN na mashirika mengine na mabalozi wa Tz walipelekwa kwenye mabasi je kwanini ilikuwa vyema huku na vibaya uingereza???
Libe amefanya kazi na mashirika ya EA na mengine hivyo anahitajika mtu ambaye ataongeza chumvi zaidi. Sikupendezwa na jibu alilotoa wakati vita a Ukrane ilipoanza. To be non aligned doesn't mean isolation.

Kukaa kimya ni aina ya utumwa. Tanzania hatukukaa kimya wakati Southafrica wanaonewa, Namimbia, Mozambique tulipiga kelele but we still were non aligned. Kukaa kimya ina maana sisi ni watumwa wa warusi. wakikohoa tunasema ndiyo bwana tamka ndiyo bwana itika ndiyiyo bwana nenda kwao.
Libe alitereza.
 
Alikataa mother kupanda bus la Majinja kule UK kwamba lingeshusha hadhi yake na Taifa kwa ujumla, ndomana hukumuona Kagame akipanda bus kule.
Haaahaha hio si kweli Kagame mwenyewe alipanda basi sema hakupigwa picha tu. Akina Macron na Trudeu walipanda basi hadi wafalme wa nchi za ulaya walipanda mabasi pia. Ni Joe Biden tu ndio aliruhusiwa kwenda na gari.Toa kabisa hio sio sababu, sema vitu vingine ila sio hilo la kupanda basi..NEver!!!
 
Kagame (Rwanda) hayumo kwenye Commonwealth contries
Kagame - Rwanda yumo kwenye Commonwealth na mkutano mkuu wa Commonwealth wa 2022, ulifanyikia Kigali, Rwanda. Na Mfalme wa sasa King Charles alihudhuria huo mkutano, na bongo iliwakilishwa na VP Mpango. Rwanda walijiunga na Commonwealth ingawa walikua Francophone. Na Kagame alipanda basi pia sema hakupigwa picha tu.
 
Ivi ubunge wake atasalia nao au ndio zindegi mirenaheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…