Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

Ila kiukweli Kule msumbiji Ile ilikuwa aibu sana aisee sijui kwanin aliamua kufanya vile

Kaka mkubwa we mbobezi wa hizi mambo hebu tupe fununu hata Kwa code tu

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Ukipenda sana Wine halafu Mume au Mke akiwa mbali nawe ni lazima tu itaamsha Mihemko yako ya Kibaikolojia na kila ajaye mbele yako utawajibika nae kwa Kadhalika na Kadhalika.
 
Kabibi Mulamula sijawahi kulapenda. Hakanaga haiba ya uwaziri. Kakitembea kanaoepesula. Kamechokachokaaaa. Wacha kaende na maji.

Samia piga kazi.!
 

Persons =people
 
Njama mbona haziishi au labda Katoa kibali cha kukutana na SUGU.
Jibu sio sahihi lakini ni moja Tu.
 
Mjitahidi kuwa updated aisee.. mkutano wa mwisho wa jumuiya ya madola ulifanyika KIGALI RWANDA
Labda nimekosea kwa kusema 'hayumo', ingepaswa niseme 'siye asilia'. Membership yake ni ya kujiforce tu na kutaka kupata fedha za wakimbizi wa Uingereza wanaotaka kupelekwa Rwanda.
 
Marekani wanakusudia kumteua huyu mama kuwa kiongozi katika taasuisi nyeti ambayo bila kupitia huko Tanzania haitapata msaada wowote kutoka kwao ndio mazao ya chuki dhidi ya mtu kwa majungu na wivu usio na tija
 
Hivi JF bado ina washamba wanaoamini Mkuu wa Nchi hawezi kupanda basi!!!
Mkuu yupi ulishawahi hapa Tanzania kumwona akipanda basi au lini ulishawahi kuwaza siku moja raisi atapanda basi badala ya v8

Alituaibisha sana akaona haifai siku chache tu Msumbiji tena huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…