Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka ka dada kao kulia ka Kourtney ndiyo chaguo langu.
Ila kwa kuosha macho basi namba moja Kim Kardashian. Sema kenyewe inabidi uwe mweusi na pesa nyingi mfukoni. Kama huna jina wala PENG'A, basi kalale mbele. Ila nina wasiwasi ukimuona waziwazi, utagundua mzigo nyuma umezidi.
Hivi vitoto vya Bruce vimekuwa vikubwa, jamani muda unakimbia. Nakumbuka hadi leo kesi ya OJ Simpson wakati huo baba yao yuko hai.