Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kwa hiyo realMamy hanipendi! π―Ukiona unaombwa ombwa pesa hapo haujapendwa , wanawake Huwa wana set rules Kwa wanaume wasio wapenda , wana set rules Kwa wanaume wanao taka kuwatumia
But it's different Kwa mwanaume anaye mpenda mwanamke akishampenda mwanaume Huwa anakubali kumpa nafasi ya kutawaliwa na huyo mwanaume na hawezi ku- demand vitu /mambo ambayo mwanaume huyo Hana uwezo nayo
Halafu nitumie tena.
nimeipenda hii ππMONEY CAN BUY SEX AS FOR LOVE IS NOT FOR SELL,NO ONE HAD EVER PURCHASED A REALY TRUE LOVE.
PESA INAWEZA KUNUNUA NGONO,PESA HAIWEZI KUNUNUA UPENDO KWA SABABU UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI
Haya ngoja nitume tena sababu aylavyu!Halafu nitumie tena.
Ile ya Jana haijatosha kwenye kitu nilichokuwa nataka kununua.
Muuzaji kasema ni 250K na sio 150K.
Niko hapa dukani nasubiri.
Wanawake hasa hawa wamama wa under 40 wanapenda pesa kuliko kawaida.
Cha ajabu wanapenda pesa za wanaume, za kwao ni chungu sana.
Mwanamke pesa aliyoipata kwa njia halali anaiheshimu sana.
Ukiingia naye kwenye mapenzi ukiilamba tu maku yake tayari anakuingiza kwenye daftari la wadaiwa sugu.
Mpaka unajiuliza kama kila siku anasema anaumwa njaa mbona hajafa kwa njaa kabla ya mahusiano yenu?
Ukimnyima wewe mbaya na katili , UKIMPA pesa ataendelea kutaka zingine, ukimpa tena na tena anakuona jinga, lofa, fala.
Bora lawama kuliko kuonekana lofa.
Ndo maana nakupenda πHaya ngoja nitume tena sababu aylavyu!
We pita tu mbele yangu huku unatingisha 'makebo'. Ukishasikia tu naimba, "Singida Dodoma...", kwa kufuatisha mtingisho huo ujue niko mbioni kukuhonga kila kitu.realMamy hua mnaomba je hela mbona mi nashindwa π€£π€£
β€οΈ Forever.Ndo maana nakupenda π
Kwa hiyo kama makebo hamna πWe pita tu mbele yangu huku unatingisha makebo. Ukishasukia tu naimba, "Singida Dodoma...", kwa kufuatisha mymtingisho huo ujue niko mbioni kukuhonga Kila kitu.
Wala huhitaji kuniomba.
Kama makebo hamna wala macho yangu hayatakuona.Kwa hiyo kama makebo hamna π