Huu mwaka hauishi πEm wakuone tired kusubiri mimi π₯Ήππ€£
Nilidhani utasema huu mwezi hauishi kumbe mwaka kasheshe π₯ΉHuu mwaka hauishi π
Hata kipindupindu ni nature tu, ukila mavi unaweza kukipata.Huku kwetu wanasema ni nature mwanamke kuhudumiwa na mwanaume.
Utamaduni!!
Hahaha.πHata kipindupindu ni nature tu, ukila mavi unaweza kukipata.
Lakini hilo halitufanyi tule mavi.
US ndio home of original gold diggers πVipi hapo marekani mkuu. Kuna wapenzi ombaomba kama huku?
Wanaojiuza wapo, lakini si sawa na hawa wa kwetu ambao ukiwatongoza tu lotion imeisha, gesi imeisha n.k.US ndio home of original gold diggers π
Kweli Bora ule Kwa urefu wa kamba yako.Imagine na nina vyo overthink mambo nikiomba ninyimwe nitaumia sana so ili kuepka hizo dhahma bora nitulie tuliii π€£π€£
Amri hiyo SasaHalafu nitumie tena.
Ile ya Jana haijatosha kwenye kitu nilichokuwa nataka kununua.
Muuzaji kasema ni 250K na sio 150K.
Niko hapa dukani nasubiri.
Si ndiyoo mahi au wewe unaweza kuomba tena live π€£Kweli Bora ule Kwa urefu wa kamba yako.
Nimesusa,siombi Hela ya mtoto wa mtuπSi ndiyoo mahi au wewe unaweza kuomba tena live π€£
π€£π€£ sauwa bi mzuri πNimesusa,siombi Hela ya mtoto wa mtuπ
Kupambana TUππ€£π€£ sauwa bi mzuri π
Yes maaπKupambana TUπ
secretarybird eti nakuamrisha mimi jamani πAmri hiyo Sasa
Huu mwezi nitaenda Iringa kwanzaNilidhani utasema huu mwezi hauishi kumbe mwaka kasheshe π₯Ή
Nendaaa mwana kwendaπHuu mwezi nitaenda Iringa kwanza
Naenda kutambulishwa π π π πNendaaa mwana kwendaπ
Hapana, Mimi nakupa pesa kwa hiari yangu.secretarybird eti nakuamrisha mimi jamani π