π πHapana, Mimi nakupa pesa kwa hiari yangu.
Tukifika Mombasa nitakupeleka ukaangalie jinsi gereza la shimo la tewa lilivyo.π π
Wiki hii nataka kwenda Mombasa
Pesa ziwahi please.
Mimi naenda kuenjoy mambo ya kwenda Gerezani siyataki πTukifika Mombasa nitakupeleka ukaangalie jinsi gereza la shimo la tewa lilivyo.
mpaka watokwe na damu ndo husikia