Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
“Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama pinzani vitaibuka na sera mbadala zenye mashiko na kuungwa mkono na umma.”
— Alloyce, P.R.
— Alloyce, P.R.