Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Siyo suala la kuungwa mkono, ni kama kuna wizi wa kura au lahHata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama pinzani vitaibuka na sera mbadala zenye mashiko na kuungwa mkono na umma.”
Ni lini Uchaguzi wa Tanzania umeamuliwa kwa sera? Kingine chaguzi ambazo kabla ya kampeni kuanza tayari 90% ya wagombea wa upinzani walienguliwa unautumiaje kama kiashiria cha matokeo ya uchaguzi mkuu?Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama pinzani vitaibuka na sera mbadala zenye mashiko na kuungwa mkono na umma.”
— Alloyce, P.R.
ni muhimu sana,Ni lini Uchaguzi wa Tanzania umeamuliwa kwa sera? Kingine chaguzi ambazo kabla ya kampeni kuanza tayari 90% ya wagombea wa upinzani walienguliwa unautumiaje kama kiashiria cha matokeo ya uchaguzi mkuu?
Ila wachambuzi wa Tanzania, zero kabisa.
Yaani kweli Wakili Mahinyila hajui kujaza fomu ya kugombea uenyekiti wa kijiji? Aisee kazi kwelikweli ila CCM wooote walikua wanajua kujaza fomu peke yao.ni muhimu sana,
kuwaondoa kwenye mchakato wa uchaguzi mara moja, wagombea uongozi wote wasio kidhi sifa na vigezo stahiki vya kisheria ili kuepuka kunajisi katiba ya Taifa letu.
kwani unadhani hao wanaosota korokoroni hawakujua kwamba uropokaji wao unakiuka sheria gentleman? si ni makusudi kabisaa, check sasa athari za makusudi yenye kiburi yanavyowashenyenta..Yaani kweli Wakili Mahinyila hajui kujaza fomu ya kugombea uenyekiti wa kijiji? Aisee kazi kwelikweli ila CCM wooote walikua wanajua kujaza fomu peke yao.