Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unataka kusemaje Sasa funguka tukusikieHivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
Mbona nimeshasema nilichokuwa nataka kusema.Unataka kusemaje Sasa funguka tukusikie
Hawa ndio wasomi wa Tanganyika walivyo, kama sio juhudi za wavaa baghalashia na makobazi wa Pwani kupamaba na Mkoloni ili aondoke mpaka leo hii Mkoloni angalikuwa anawatala. alijua mtanganyika ukimpa kikombe cha mawele basi atakuwa na weweHivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
Ni kama unavimanung'uniko ila haijaeleweka nani unamnung'unikia shekheMbona nimeshasema nilichokuwa nataka kusema.
Huna uwezo wa kusoma na kuelewa ulichokisoma?
Hizo ni projections zako tu.Ni kama unavimanung'uniko ila haijaeleweka nani unamnung'unikia shekhe
Kuukomalia udini muda wote ni upumbavu grade one!Nadhani huwa huanzi kujitambulisha jina kwanza.Unaanza..."Mimi msulimina.Naitwa Malaria"..!Hawa ndio wasomi wa Tanganyika walivyo, kama sio juhudi za wavaa baghalashia na makobazi wa Pwani kupamaba na Mkoloni ili aondoke mpaka leo hii Mkoloni angalikuwa anawatala. alijua mtanganyika ukimpa kikombe cha mawele basi atakuwa na wewe
uko wapi udini hapo?Kuukomalia udini muda wote ni upumbavu grade one!Nadhani huwa huanzi kujitambulisha jina kwanza.Unaanza..."Mimi msulimina.Naitwa Malaria"..!
dah: 99%, yangalikuwa mengi ya majina ni Abdul , tungaliona comments nyingi hapa: Living long to see many things, the best scholar is the one who looks far aheadUchaguzi utafanyika Jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa TLS utaofanyika tarehe 31.07.2024 mpaka tarehe 03.08.2024.
Wanaogombea nafasi ya RAIS wa TLS ni mawakili wafuatao:
1. BONIFACE A.K. MWABUKUSI (MBEYA)
2. EMMANUEL AUGUSTINO MUGA (ILALA)
3. REVOCATUS LUBIGILI KIBWE KUULI (MZIZIMA)
4. PAUL REVOCATUS KAUNDA (WESTERN ZONE)
Wanaogombea nafasi ya MAKAMU RAIS wa TLS ni mawakili:
1. AZIZA OMARI MSANGI (ILALA)
2. LAETITIA PETRO NTAGAZWA (IRINGA)
Hawa ndio wasomi wa Tanganyika walivyo, kama sio juhudi za wavaa baghalashia na makobazi wa Pwani kupamaba na Mkoloni ili aondoke mpaka leo hii Mkoloni angalikuwa anawatala. alijua mtanganyika ukimpa kikombe cha mawele basi atakuwa na wewe
Unazungumzia historia ya 1989 uliofundishwa primary school..Tanu ilikuwa na wazalendo toka kila pembe ya Tanganyika, sio Pwani peke yake.
..nenda kaangalie waasisi wa Tanu wale 17 ni watu wa wapi.
..kuna kipindi wakati wa kudai uhuru 66% ya fedha za kuendesha Tanu zilikuwa zinatoka eneo fulani sio Pwani.
Dictator magu wacha ateseke motoni alikuwa muovu mno..Rais mmoja wa TLS alicharangwa risasi utadhani ni ndovu.
..Rais aliyefuatia wa TLS ofisi yake iliwahi kulipuliwa kwa bomu la kivita.
..Matukio hayo yalitokea wakati wa utawala wa Jpm.
..WHY?
Wakilli msomi Paulo kaunda yupo vizuri huyu classmateUchaguzi utafanyika Jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa TLS utaofanyika tarehe 31.07.2024 mpaka tarehe 03.08.2024.