Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?