Chaguzi za TLS

Chaguzi za TLS

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?

Kulikoni?

Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.

Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.

Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.

Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?

TLS ipo kweli?
 
Unataka kusemaje Sasa funguka tukusikie
 
Hawa ndio wasomi wa Tanganyika walivyo, kama sio juhudi za wavaa baghalashia na makobazi wa Pwani kupamaba na Mkoloni ili aondoke mpaka leo hii Mkoloni angalikuwa anawatala. alijua mtanganyika ukimpa kikombe cha mawele basi atakuwa na wewe
 
Kuukomalia udini muda wote ni upumbavu grade one!Nadhani huwa huanzi kujitambulisha jina kwanza.Unaanza..."Mimi msulimina.Naitwa Malaria"..!
 
Uchaguzi utafanyika Jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa TLS utaofanyika tarehe 31.07.2024 mpaka tarehe 03.08.2024.

Wanaogombea nafasi ya RAIS wa TLS ni mawakili wafuatao:
1. BONIFACE A.K. MWABUKUSI (MBEYA)
2. EMMANUEL AUGUSTINO MUGA (ILALA)
3. REVOCATUS LUBIGILI KIBWE KUULI (MZIZIMA)
4. PAUL REVOCATUS KAUNDA (WESTERN ZONE)

Wanaogombea nafasi ya MAKAMU RAIS wa TLS ni mawakili:
1. AZIZA OMARI MSANGI (ILALA)
2. LAETITIA PETRO NTAGAZWA (IRINGA)
 
dah: 99%, yangalikuwa mengi ya majina ni Abdul , tungaliona comments nyingi hapa: Living long to see many things, the best scholar is the one who looks far ahead
 
Hawa ndio wasomi wa Tanganyika walivyo, kama sio juhudi za wavaa baghalashia na makobazi wa Pwani kupamaba na Mkoloni ili aondoke mpaka leo hii Mkoloni angalikuwa anawatala. alijua mtanganyika ukimpa kikombe cha mawele basi atakuwa na wewe

..Tanu ilikuwa na wazalendo toka kila pembe ya Tanganyika, sio Pwani peke yake.

..nenda kaangalie waasisi wa Tanu wale 17 ni watu wa wapi.

..kuna kipindi wakati wa kudai uhuru 66% ya fedha za kuendesha Tanu zilikuwa zinatoka eneo fulani sio Pwani.
 
Unazungumzia historia ya 1989 uliofundishwa primary school
 
Jiwe aliingilia kazi za Mungu za kutoa roho za watu na baadaye Mungu akachukia amuondoa sasa anateseka motoni na nchi imetulia
 
Wa
Uchaguzi utafanyika Jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa TLS utaofanyika tarehe 31.07.2024 mpaka tarehe 03.08.2024.

Wanaogombea nafasi ya RAIS wa TLS ni mawakili wafuatao:
1. BONIFACE A.K. MWABUKUSI (MBEYA)
2. EMMANUEL AUGUSTINO MUGA (ILALA)
3. REVOCATUS LUBIGILI KIBWE KUULI (MZIZIMA)
4. PAUL REVOCATUS KAUNDA (WESTERN ZONE)

Wanaogombea nafasi ya MAKAMU RAIS wa TLS ni mawakili:
1. AZIZA OMARI MSANGI (ILALA)
2. LAETITIA PETRO NTAGAZWA (IRINGA)
Wakilli msomi Paulo kaunda yupo vizuri huyu classmate
 
Back
Top Bottom