newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Mkuu Kanyagio
Nimekutumia mchango wangu around 4.30Pm . nasikitika kusema kuwa wale wageni 2 hawatoweza kuja kwa sababu zilizo nje ya uwezo
Nimekutumia mchango wangu around 4.30Pm . nasikitika kusema kuwa wale wageni 2 hawatoweza kuja kwa sababu zilizo nje ya uwezo
wajumbe,
nimefanya update ya washiriki (angalia hapo juu)
namshukuru MAX MELO (JF founder) kuthibitisha kushiriki.
samahani wajumbe jana nilikuwa mbali na mji kwa hiyo nilikuwa sipo reachable.. kwa wale ambao watataka kuwasilisha michango 15,000 simu ya VODA (MPESA NUMBER) 0759 44 45 46 itakuwa hewani kila siku kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi 1.00 usiku.. baada yapo nabadilisha simcard ili niweze kuwasiliana na simu zangu za namba ya tigo
ujumbe kwa mzee wa pwani: comment yako uliyosema "isije ikawa tunamchangia mtu safari ya kwao" haiwezi kupita bila kutolewa ufafanuzi. Naomba niwaeleze wanaotaka kushiriki kuwa sisi kamati ya maandalizi tukiwemo Kanyagio na Malila hatuwezi kimbia na 15,000 za mtu.. hatuwezi kupoteza uaminifu, hadhi yetuna kuchafua majina yetu kwa fedha hiyo. Asiye tuamini naomba asitume fedha yake!