- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Count me IN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isije ikawa tunamchangia mtu safari ya kwao:embarrassed:
MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL
wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina masuala ya kilimo na ufugaji kupitia hapa JF (hasa kupitia thread yaTujiunge na kuanzisha JAMII FARM na nyinginezo tumeona ni vema tufanye mkutano maalum kujadili masuala ya uwekezaji katika kilimo na ufugaji. Madhumuni ya mkutano huu ni kubadilishana taarifa na uzoefu katika uwekezaji katika sekta ya kilimo na ufugaji. aidha itakuwa ni kikao muafaka katika kupeana taarifa mbalimbali za fursa katika kilimo na ufugaji. Huu utakuwa ni mwendelezo wa mkutano tuliofanya mwaka jana.
mkutano huu tarehe 5 Februari 2011 jijini Dar es salaam pale LUNCH TIME HOTEL kuanzia saa 8.00 kamili mchana. Gharama ya kushiriki ni 15,000/= kwa kila mtu (ukumbi na refreshments). hotel ya Lunchtime (LUNCH TIME HOTEL) ipo along Mandela Road opposite na kituo cha Mabibo Hosteli na si mbali kutoka Ubungo EXTERNAL)
mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:
- KANYAGIO
- MALILA
- TITO
- MGOMBEZI
- ELNINO
- KASOPA
- KASOPA FRIEND NO. 1
- KASOPA FRIEND NO. 2
- ZAHOR SALIM
- NEW MZALENDO
- TGS D
- REALTOR
- MASAKI
- STREET SMART
- LEN
- BABALAO
- THE INVESTOR
- MASIKINI JEURI
- SABI SANDA
- DORISVETY
- CARMEL
- RAMTHODS
- BENNET (wa mitiki blog)
- GAMAHA
- AMBASSADOR
- KIBANANHUKHU
- TZ_Investor
- NEWMZALENDO FRIEND NO. 1
- NEW MZALENDO FRIEND NO.2
- MGOMBEZI FRIEND
- REALTOR FRIEND
- Maxence Mello
- JOKA KUU (nimekuweka ingawa kwenye post yako hujaonyesha kama unashiriki)
- INVESTOR'S FRIEND
- MKESHAHOI
nafasi bado zipo, mategemeo yetu ni kuwa na watu takribani 35 kwa hiyo nafasi bado zipo!!!
MAAMUNA HARASHIRIKI ILA KAAHIDI KUTOA 10,000/= (TUNAKUSHUKURU). naomba kuwafahamisha kwamba mchango kwa ajili ya gharama za mkutano zimeanza kupokelewa. kwa hiyo naomba mtumie MPESA kuweka 15,000 tulizokubaliana.. namba ni 0759 44 45 46. ukitaka kunipigia ku-confirm naomba utaje jina lako kama lilivyo hapo juu niweze kujua.nitakuwa natoa update kila siku kuhusu hali ya michango kwa uwazi!!.
Ratiba imeambatanishwa
ukiwa na swali usisiste kuuliza
"PAMOJA TUNAWEZA"
Kama umesajili namba kwa huduma hiyo..basi charges unabeba mpokeaji... mtumaji anakatwa mia mbili tu!!watumaji hela wazingatie hayo!:coffee:ndugu wanandugu nimekumbuka kwamba unapotuma fedha kupitia MPESA kuna charge fulani.. kwa watalaamu wa MPESA naomba kuuliza, hivi anayekatwa ni yule anayepokea au anayetuma. kama ni anayepokea naomba sana utakapotuma fedha uongeze na fedha kidogo kwa ajili ya hiyo charge (nadhani haizidi shilingi mia tano -- 500/=) - mwenye figure na maelezo kamili kuhusu charges anijulishe.
namba imesajili.. ahsante kwa clarififcation. kwa hiyo nitakatwa hela.
Halafu kuna mtu katuma 10,500 badala ya 15,000.. kwa msingi huu ili kuondoa confusion napendekeza wale ambao watakuwa hawajalipa mnaweza kuja na fedha zenu mtalipia mlangoni.. tunatoa ruhusa hiyo ili kurahisisha mambo wakubwa.. nashukuru sana INVESTOR aliyekwisha lipa 15,000 through MPESA na mtu aliyelipa 10,500 na jina lake halikuonekana zaidi ya kuandikwa MS Communication!!
so please njoo na fedha zenu mtalipia mlangoni!!
thanks
namba imesajili.. ahsante kwa clarififcation. kwa hiyo nitakatwa hela.
Halafu kuna mtu katuma 10,500 badala ya 15,000.. kwa msingi huu ili kuondoa confusion napendekeza wale ambao watakuwa hawajalipa mnaweza kuja na fedha zenu mtalipia mlangoni.. tunatoa ruhusa hiyo ili kurahisisha mambo wakubwa.. nashukuru sana INVESTOR aliyekwisha lipa 15,000 through MPESA na mtu aliyelipa 10,500 na jina lake halikuonekana zaidi ya kuandikwa MS Communication!!
so please njoo na fedha zenu mtalipia mlangoni!!
thanks
Wakuu Kanyagio na Malila, nimetuma Sh.10,500/= kwa M-Pesa, kama nilivyoahidi. Nimeongeza sh. 500 kwa ajili ya charges, ili ipatikane kumi kamili.
Wishing you all the best.
nimefanya update ya michango hapo kwenye Mother post (cheki juu). Kama nilivyosema michango inaweza kutolewa kwa MPESA ukiweza itakuwa nzuri.. ikishindikana utalipia mlangoni.. ila naomba uthibitisho wenu (kama hautahudhuria kama Kiresua au investor Friend No. 1) naomba nipewe taarifa ili tuweze kuwa na idadi kamili
Hii ni kuthibitisha kuwa NITAKUWEPO bila kukosa. Ahsante
Amani yetu inatumiwa vibaya.