MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL
wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina masuala ya kilimo na ufugaji kupitia hapa JF (hasa kupitia thread ya
Tujiunge na kuanzisha JAMII FARM na nyinginezo tumeona ni vema tufanye mkutano maalum kujadili masuala ya uwekezaji katika kilimo na ufugaji. Madhumuni ya mkutano huu ni kubadilishana taarifa na uzoefu katika uwekezaji katika sekta ya kilimo na ufugaji. aidha itakuwa ni kikao muafaka katika kupeana taarifa mbalimbali za fursa katika kilimo na ufugaji. Huu utakuwa ni mwendelezo wa mkutano tuliofanya mwaka jana.
mkutano huu tarehe
5 Februari 2011 jijini Dar es salaam pale LUNCH TIME HOTEL kuanzia saa 8.00 kamili mchana. Gharama ya kushiriki ni
15,000/= kwa kila mtu (ukumbi na refreshments)
mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:
- KANYAGIO
- MALILA
- TITO
- MGOMBEZI
- ELNINO
- KASOPA
- KASOPA FRIEND NO. 1
- KASOPA FRIEND NO. 2
- ZAHOR SALIM
- NEW MZALENDO
- TGS D
- REALTOR
- MASAKI
- STREET SMART
- LEN
- BABALAO
- THE INVESTOR
- MASIKINI JEURI
- SABI SANDA
- DORISVETY
- CARMEL
- RAMTHODS
- BENNET (wa mitiki blog)
- GAMAHA
- AMBASSADOR
- KIBANANHUKHU
nafasi bado zipo, mategemeo yetu ni kuwa na watu takribani 35 kwa hiyo nafasi bado zipo!!!
Ratiba imeambatanishwa
ukiwa na swali usisiste kuuliza
"PAMOJA TUNAWEZA"