CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

wajumbe,
nimefanya update ya washiriki (angalia hapo juu)

namshukuru MAX MELO (JF founder) kuthibitisha kushiriki.

samahani wajumbe jana nilikuwa mbali na mji kwa hiyo nilikuwa sipo reachable.. kwa wale ambao watataka kuwasilisha michango 15,000 simu ya VODA (MPESA NUMBER) 0759 44 45 46 itakuwa hewani kila siku kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi 1.00 usiku.. baada yapo nabadilisha simcard ili niweze kuwasiliana na simu zangu za namba ya tigo

ujumbe kwa mzee wa pwani: comment yako uliyosema "isije ikawa tunamchangia mtu safari ya kwao" haiwezi kupita bila kutolewa ufafanuzi. Naomba niwaeleze wanaotaka kushiriki kuwa sisi kamati ya maandalizi tukiwemo Kanyagio na Malila hatuwezi kimbia na 15,000 za mtu.. hatuwezi kupoteza uaminifu, hadhi yetuna kuchafua majina yetu kwa fedha hiyo. Asiye tuamini naomba asitume fedha yake!
 
ndugu wanandugu nimekumbuka kwamba unapotuma fedha kupitia MPESA kuna charge fulani.. kwa watalaamu wa MPESA naomba kuuliza, hivi anayekatwa ni yule anayepokea au anayetuma. kama ni anayepokea naomba sana utakapotuma fedha uongeze na fedha kidogo kwa ajili ya hiyo charge (nadhani haizidi shilingi mia tano -- 500/=) - mwenye figure na maelezo kamili kuhusu charges anijulishe.
 
Hi Kanyagio, i have moved again, as earlier confirmed that i wil paticipate but i canot. Tuko pamoja. Kuhusu Mpesa, ni vizuri ukazidraw zote siku ya mwisho wa kupokea kwani viwango ni tofauti. Mfano ukituma 50,000 ili uliyemtumia aweze kuchukuwa 50,000 inabidi utume angalao sh 52,000. Kwani sh 900 itatumika kama gharama za kutuma pesa na sh 900 itatumika kama gharama ya kuchukulia pesa.

Hivyo basi kama wadau tutatuma 15,000 exactly Kanyagio utaweza kuchukua 14,000 tu kwani sh 4oo itakuwa imetumika kama gharama za kutuma na 400 ingine kwa kudraw. Nawaasa wadau wote mtakaoshiriki, tumeni at least 1000plus ili kucover gharama zako za kutuma hela na kupokea.

Kanyagio atakapochukua siku ya mwisho atatoa sh 1,900 tu kama gharama ya kuchukua hela kuanzia sh 200,000 hadi 299,999. (Kama kuna mtu mwenye aditional info kama nimemis out something important, ur welcom to coment, i'm wil be positive.) Kama zitabak chench kikao kitaamua zitumikeje. Mfano adnstratiue costs s(stationary nk) au mtaamua kuongeza bavaria. Asanteni. Nawaombeeni kikao chema
 
isije ikawa tunamchangia mtu safari ya kwao:embarrassed:

MZEE WA PWANI; Kwa fikra hizi napata tafsiri ya kwamba WEWE SI MWAMINIFU unaonekana kuwa TAPELI, hivyo unafikiri na wengine wako kama wewe. Jifunze kuwa mwaminifu kwako mwenyewe na wengine. Kumbuka wale wanaokubali kujaribu tu ndiyo wanaofanikiwa.
 
MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL

wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina masuala ya kilimo na ufugaji kupitia hapa JF (hasa kupitia thread yaTujiunge na kuanzisha JAMII FARM na nyinginezo tumeona ni vema tufanye mkutano maalum kujadili masuala ya uwekezaji katika kilimo na ufugaji. Madhumuni ya mkutano huu ni kubadilishana taarifa na uzoefu katika uwekezaji katika sekta ya kilimo na ufugaji. aidha itakuwa ni kikao muafaka katika kupeana taarifa mbalimbali za fursa katika kilimo na ufugaji. Huu utakuwa ni mwendelezo wa mkutano tuliofanya mwaka jana.

mkutano huu tarehe 5 Februari 2011 jijini Dar es salaam pale LUNCH TIME HOTEL kuanzia saa 8.00 kamili mchana. Gharama ya kushiriki ni 15,000/= kwa kila mtu (ukumbi na refreshments). hotel ya Lunchtime (LUNCH TIME HOTEL) ipo along Mandela Road opposite na kituo cha Mabibo Hosteli na si mbali kutoka Ubungo EXTERNAL)

mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:

  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. TITO
  4. MGOMBEZI
  5. ELNINO
  6. KASOPA
  7. KASOPA FRIEND NO. 1
  8. KASOPA FRIEND NO. 2
  9. ZAHOR SALIM
  10. NEW MZALENDO
  11. TGS D
  12. REALTOR
  13. MASAKI
  14. STREET SMART
  15. LEN
  16. BABALAO
  17. THE INVESTOR
  18. MASIKINI JEURI
  19. SABI SANDA
  20. DORISVETY
  21. CARMEL
  22. RAMTHODS
  23. BENNET (wa mitiki blog)
  24. GAMAHA
  25. AMBASSADOR
  26. KIBANANHUKHU
  27. TZ_Investor
  28. NEWMZALENDO FRIEND NO. 1
  29. NEW MZALENDO FRIEND NO.2
  30. MGOMBEZI FRIEND
  31. REALTOR FRIEND
  32. Maxence Mello
  33. JOKA KUU (nimekuweka ingawa kwenye post yako hujaonyesha kama unashiriki)
  34. INVESTOR'S FRIEND
  35. MKESHAHOI

nafasi bado zipo, mategemeo yetu ni kuwa na watu takribani 35 kwa hiyo nafasi bado zipo!!!

MAAMUNA HARASHIRIKI ILA KAAHIDI KUTOA 10,000/= (TUNAKUSHUKURU). naomba kuwafahamisha kwamba mchango kwa ajili ya gharama za mkutano zimeanza kupokelewa. kwa hiyo naomba mtumie MPESA kuweka 15,000 tulizokubaliana.. namba ni 0759 44 45 46. ukitaka kunipigia ku-confirm naomba utaje jina lako kama lilivyo hapo juu niweze kujua.nitakuwa natoa update kila siku kuhusu hali ya michango kwa uwazi!!.

Ratiba imeambatanishwa

ukiwa na swali usisiste kuuliza

"PAMOJA TUNAWEZA"

Hongera sana kwa wote mlifanikisha kufika hapa tulipo, mimi nimelipa mchango jana, nitaandamana na mwana mama machachari katika ujasiriamali ingawa yeye si memba wa JF ila kavutiwa sana na idea yetu.

Ni matumaini yetu sote kwamba hayo masaa 4 tutatoka na kitu kipya chenye matumaini.
 
ndugu wanandugu nimekumbuka kwamba unapotuma fedha kupitia MPESA kuna charge fulani.. kwa watalaamu wa MPESA naomba kuuliza, hivi anayekatwa ni yule anayepokea au anayetuma. kama ni anayepokea naomba sana utakapotuma fedha uongeze na fedha kidogo kwa ajili ya hiyo charge (nadhani haizidi shilingi mia tano -- 500/=) - mwenye figure na maelezo kamili kuhusu charges anijulishe.
Kama umesajili namba kwa huduma hiyo..basi charges unabeba mpokeaji... mtumaji anakatwa mia mbili tu!!watumaji hela wazingatie hayo!:coffee:
 
namba imesajili.. ahsante kwa clarififcation. kwa hiyo nitakatwa hela.

Halafu kuna mtu katuma 10,500 badala ya 15,000.. kwa msingi huu ili kuondoa confusion napendekeza wale ambao watakuwa hawajalipa mnaweza kuja na fedha zenu mtalipia mlangoni.. tunatoa ruhusa hiyo ili kurahisisha mambo wakubwa.. nashukuru sana INVESTOR aliyekwisha lipa 15,000 through MPESA na mtu aliyelipa 10,500 na jina lake halikuonekana zaidi ya kuandikwa MS Communication!!

so please njoo na fedha zenu mtalipia mlangoni!!

thanks
 
Mkuu KANYAGIO; Pole kwa usumbufu uliyojitokeza, lakini kwa kuwa tatizo kama hilo limejitokeza kwa mmoja tu. Naomba utuvumilie, inaonekana njia hii ya kutumia MPESA sio familiar kwa wengi wetu lakini tutafanikiwa. Kwa wale amabo wanaweza kufanikisha kwa MPESA basi acha waendelee na utaratibu huu.
 
Ok Kanyagio, I think this will be very helpful, asante kwa hii option!!

Mzee tuko pamoja sana nawapongeza kamati ya maandalizi kwa kujitoalea kiasi hiki, tahadhari kuna wavurugaji wanaweza wakawavuruga kwenye kikao wakitilia shaka matumizi ya feadha waliyochanga, kama yule aliye sema isije ikawa tunachanga nauli ya mtu!! mm sijui watui wanawaza nn vichwani mwao yaani lak 2 watu roho inawatoka....We just bear with them.

Shukrani kwa wote, mm nitakuwa safarini and I wish ningekuwapo. Maandalizi ya midaraka na amani tele nawatakia
 
Wakuu Kanyagio na Malila, nimetuma Sh.10,500/= kwa M-Pesa, kama nilivyoahidi. Nimeongeza sh. 500 kwa ajili ya charges, ili ipatikane kumi kamili.
Wishing you all the best.
 
namba imesajili.. ahsante kwa clarififcation. kwa hiyo nitakatwa hela.

Halafu kuna mtu katuma 10,500 badala ya 15,000.. kwa msingi huu ili kuondoa confusion napendekeza wale ambao watakuwa hawajalipa mnaweza kuja na fedha zenu mtalipia mlangoni.. tunatoa ruhusa hiyo ili kurahisisha mambo wakubwa.. nashukuru sana INVESTOR aliyekwisha lipa 15,000 through MPESA na mtu aliyelipa 10,500 na jina lake halikuonekana zaidi ya kuandikwa MS Communication!!

so please njoo na fedha zenu mtalipia mlangoni!!

thanks

Mkuu hiyo 10,500/= ni mchango wangu ambao niliahidi. Sorry, nimechelewa kutoa taarifa.
 
Wakuu Kanyagio na Malila, nimetuma Sh.10,500/= kwa M-Pesa, kama nilivyoahidi. Nimeongeza sh. 500 kwa ajili ya charges, ili ipatikane kumi kamili.
Wishing you all the best.

maamuma, nashukuru sana sana kwa kutuma.. nimeipata.. nilijiuliza imetoka wapi.. kumbe ni wewe ahsante sana sana kwa moyo wako
 
nimefanya update ya michango hapo kwenye Mother post (cheki juu). Kama nilivyosema michango inaweza kutolewa kwa MPESA ukiweza itakuwa nzuri.. ikishindikana utalipia mlangoni.. ila naomba uthibitisho wenu (kama hautahudhuria kama Kiresua au investor Friend No. 1) naomba nipewe taarifa ili tuweze kuwa na idadi kamili
 
Hello Kanyagio,
Kindly acknowledge my confirmation for participation as agreed through SMS and include my name in your up-dated list.
See you.........
 
nimefanya update ya michango hapo kwenye Mother post (cheki juu). Kama nilivyosema michango inaweza kutolewa kwa MPESA ukiweza itakuwa nzuri.. ikishindikana utalipia mlangoni.. ila naomba uthibitisho wenu (kama hautahudhuria kama Kiresua au investor Friend No. 1) naomba nipewe taarifa ili tuweze kuwa na idadi kamili

mkuu check PM
 
Hii ni kuthibitisha kuwa NITAKUWEPO bila kukosa. Ahsante

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Hii ni kuthibitisha kuwa NITAKUWEPO bila kukosa. Ahsante

Amani yetu inatumiwa vibaya.

Mkuu KAMUZU; nimeona umeanzisha thread ukitutaarifu juu ya mkutano wa MEGAWEALTH ambao utaanza saa nane mchana, Je utaweza kuhudhuria mikutano yote kwa wakati mmoja au ile ilikuwa ni taarifa kwa watakao kuwa interested.
 
Back
Top Bottom