CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

Mkuu Kanyagio tunaomba mungu ajaalie kikao kifanikishe maleongo na mtujuze makubaliano ya kikao na ikiwezekana picha z kikao ziwekwe jukwani ili ziweze kuwapa moyo wana JF kushiriki katika mishikamano mkuu nawatakiwa amani na utulivu natamani sana kuwepo kikaoni lakini imeshindikana
 
Kanyagio, nawatakia mkutano mwema, natamani ningehudhuria lakini bahati mbaya dunia imenitawala- Sidhani kama mtazuia ambao hawajahudhuria leo kushiriki kwenye jambo mtakaloamua leo
 
kwa sasa wajumbe wanawasili wakiwemo kanyagio, malila babalao, mgombezi, len na wengineo ambao sijawatambua kwa ID zao..

baada ya muda mfupi ujao mkutano utaanza!!
 
Tupo Lunch Time Hotel sasa tayari kwa kuanza mkutano, wajumbe takribani 11 wameshawasili.
 
Tumeanza kikao; Mkuu Kanyagio amefungua kikao rasmi na wadau wanaendelea kujitambulisha.
 
Mada ya kwanza inaanza kujadiliwa; MAENEO/AINA YA UWEKEZAJI KATIKA KILIMO NA UFUGAJI, mwezeshaji ni Mkuu Malila.
 
Mada ya kwanza inaanza kujadiliwa; MAENEO/AINA YA UWEKEZAJI KATIKA KILIMO NA UFUGAJI, mwezeshaji ni Mkuu Malila.
Mkuu tunashukuru kwa tarifa zako tupo pamja tunafutilia kikao asantesana nifurhi sana kuna unatujuza
Ubarikwe Mkuu
 
kwa sasa wajumbe wanawasili wakiwemo kanyagio, malila babalao, mgombezi, len na wengineo ambao sijawatambua kwa ID zao..

baada ya muda mfupi ujao mkutano utaanza!!

Kanyagio mkuu mchangowangu umefika najaribu kuwasiliana na mjumbe simpati wala sms hajibu sijui Mkuu malila kamchanganya mana madazake huwa tuweka kuwa makini unajikuta hata ukiitwa mpaka uskumwe
 
Kanyagio mkuu mchangowangu umefika najaribu kuwasiliana na mjumbe simpati wala sms hajibu sijui Mkuu malila kamchanganya mana madazake huwa tuweka kuwa makini unajikuta hata ukiitwa mpaka uskumwe

Kasopa mchango wako umefika na kwa kweli nakushukuru sana kwa kutuma ujumbe.. YOU ARE THE BEST!!

halafu you have made my day KASOPA na hii signature yako: A POSITIVE THINKER SEES OPPORTUNITIES IN EVERY DIFFICULTY BUT
A NEGATIVE THINKER SEES DIFFICULTIES IN EVERY OPPORTUNITY"
 
Asante CHAI DAY.... Nimefungukliwa ufahama pale nilipokuwa nina mashaka... commitment...commitment..... Commitment... Ndo mhimili wa muunganiko huu!!
 
Asante CHAI DAY.... Nimefungukliwa ufahama pale nilipokuwa nina mashaka... commitment...commitment..... Commitment... Ndo mhimili wa muunganiko huu!!

Naam..... ilikuwa zaidi ya chai walioikosa poleni ila msife moyo moto ndiyo unaanza kuwaka, ukiusogelea utachangamka bila shaka na hutajutia. Natamani chai dei nyingine asp.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Kama mdau natoa pongezi kwa washiriki wote wa CHAI DAY - 2011, ninaamini moto uliowashwa utandelea na bila kusahau adhima kubwa iliyopo mbele yetu (COMMITMENT). Napenda kutoa shukrani za dhati kwa KANYAGIO na MALILA kwa jitihada zenu hata kufanikisha CHAI DAY - 2011; BIG UP BROTHER!, naamini mtatupeleka hatu nyingine muda si mrefu kama tulivyokubaliana.
 
tunaomba briefing ,na wale ambao tulikosa tunapaswa kufanya nini?
 
wanandugu nawashukuru wote walioweza kufika kwenye mkutano.. kwa kweli ulikuwa mkutano mzuri. naomba mniwie radhi kwa kuchelewa kuleta muhtasari ila naahidi kuuwakilishi si muda mrefu ujao.

Pamoja na hayo nawashukuru wote ambao walinipigia simu, PM au emai kuniambia kuwa hawatahudhuria. lakini nasikitika sana kuwa kuna watu wali-confirm kuja lakini hawakutoa taarifa kuwa hawaji.. sasa ndugu zangu naomba tujifunze kutoa taarifa tunapohairisha maanake isingekuwa uelewa wa wenye hoteli wangetu-charge hata wale ambao hawakufika (tulikuwa tumeweka order za watu 35 ila tukawa 23). Watu wa hotel walituelewa na wakawa flexible (baada ya kuwaomba) hivyo hawakutu-charge.
 
Pole na endelea kukaza mwendo... Commitment...commitment
 
Mwandaaji, Thanks for the Minutes, Next step is the implementation of the agread action of the CHAI DAY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…