Chai na Chapati mbili

Chai na Chapati mbili

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?

Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na chapati tatu, au chai na chapati moja.

Wengi utasikia, nipe chai na chapati mbili, au nipe chapati mbili na maharage.

Kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaona nawaona waache wachezee

Mkuu mimi ni mgeni humu, lakini naona threads nyingi watu wanasema nafasi yako, au wamekushikia nafasi!

Maana yake ni nini? Isije ikawa naingia kwenye nafasi za watu bila kujua.
 
Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
 
Okay, nimekupata mkuu, maana ni thread nyingi tu naona watu wanasema nimemshikia nafasi Jose!

Sasa nikawa sielewi kitu.
 
45412fdaf2e89c7ac7fd968836c309b3.jpg

Leo nimekuona instagram kaka Joseverest

Sent by Samson Cyper
 
Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
Unakataaje nafasi yako mkuu
 
Unakula kulingana na urefu wa kamba yako

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom