Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?
Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na chapati tatu, au chai na chapati moja.
Wengi utasikia, nipe chai na chapati mbili, au nipe chapati mbili na maharage.
Kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app