Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Haya, hongera, naona umemuwahi Joseverest
Mdogo wangu huyoHaya, hongera, naona umemuwahi Joseverest
Mkuu kuna watu wanachezea nafasi yako sanaSio kweli watu tunapiga chapati hata 5 mara moja paap
Nawaona nawaona waache wachezeeMkuu kuna watu wanachezea nafasi yako sana
Nawaona nawaona waache wachezee
Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JFMkuu mimi ni mgeni humu, lakini naona threads nyingi watu wanasema nafasi yako, au wamekushikia nafasi!
Maana yake ni nini? Isije ikawa naingia kwenye nafasi za watu bila kujua.
Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
Poa mkuu pamojaOkay, nimekupata mkuu, maana ni thread nyingi tu naona watu wanasema nimemshikia nafasi Jose!
Sasa nikawa sielewi kitu.
Hahaha watu noma kweli
huko chapati muipate wapi? labda ukoko ule wa ugali kwenu ndo chapatimkuu utakuwa upo dar huku koromoje chapati mbili ni kwa watoto wadogo
Unakataaje nafasi yako mkuuAisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
haha....hata kama but kwa mama ntilie unaagiza chapati mbili na chaiSio kweli watu tunapiga chapati hata 5 mara moja paap
Mimi napiga kuanzia 3 hizo mbili mazoea tuhaha....hata kama but kwa mama ntilie unaagiza chapati mbili na chai
sijakataa nilikuwa namuelewesha mshikajiUnakataaje nafasi yako mkuu